Deo Filikunjombe, Huko Njombe hautapitishwa na CCM

Deo Filikunjombe, Huko Njombe hautapitishwa na CCM

Yaani huyu jamaa kijnani hakimfai kabisa. YAKE NI MAGWANDA!!!!
Deo wahi shuka abla hakujakucha
 
Kwako Deo,

Nakusalimu. Nakuandikia ujumbe huu toka hapa Dar es Salaam. Nakushauri,si kwa shari,ufanye hima kujiunga na wenzako. Jiunge 'fasta' na Lembeli na Bulaya. Huko Njombe hautapitishwa na CCM.

Huko tayari kuna mwenyewe. Ushinde au ushindwe kwenye kura za maoni, jina lako litakatwa. Hatutaki wapinzani wa ndani. Asipoletwa Mjumbe mtiifu wa CC, Pindi Chana,ataletwa mwingine. Si wewe.

Amua kuwa Mbunge au kuwa raia wa kawaida. Muda wa maamuzi ni huu.

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Jana nimeona itv mafanikio ya jimbo lake maendeleo yaliyopatikana kwa juhudi zake na ushawish wake kwa wananchi.nadhan ni mmoja kati ya majembe iliobakiwa nayo chama chetu
 
Njombe imebadirika mno.mkuu usijidanganye kuwa Njombe ni ngome ya CCM jiulize kwanini Makinda kasanda? Kasoma Upepo,katika wilaya ya Njombe pekee majimbo mawili au matatu yatabebwa na Chadema,Lile la Makinda,Lupembe,Makambako,haya yote yanaenda upinzani

Njombe wamebadilika sana naona kama UKAWA wanakamata jombo
 
Kwako Deo,

Nakusalimu. Nakuandikia ujumbe huu toka hapa Dar es Salaam. Nakushauri,si kwa shari,ufanye hima kujiunga na wenzako. Jiunge 'fasta' na Lembeli na Bulaya. Huko Njombe hautapitishwa na CCM.

Huko tayari kuna mwenyewe. Ushinde au ushindwe kwenye kura za maoni, jina lako litakatwa. Hatutaki wapinzani wa ndani. Asipoletwa Mjumbe mtiifu wa CC, Pindi Chana,ataletwa mwingine. Si wewe.

Amua kuwa Mbunge au kuwa raia wa kawaida. Muda wa maamuzi ni huu.

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Mimi nilidhani ule usemi wa, sasa " ni timu Magufuli" wa Mwenyekiti wetu una apply hadi kwa wabunge!
 
Jana nimeona itv mafanikio ya jimbo lake maendeleo yaliyopatikana kwa juhudi zake na ushawish wake kwa wananchi.nadhan ni mmoja kati ya majembe iliobakiwa nayo chama chetu

Though naichukia CCM, Mh. Deo Filikunjombe ni mmoja kati ya Wabunge wa CCM, nchi inaowahitaji.
 
Aende ACT wazalendo, Majembe mawili yanamaliza shamba fasta

Lazima wewe utakuwa usalama wa taifa!!! Haiwezekani jembe kama Deo umshauri ahamie ACT Wajinga!!! Wewe unasikia chama hiki ni CCM B halafu jembe kama hili lihamie huko! Pigania uobgezwe mshahara achana na majembe ya wananchi!! CCM Mkubwa wewe!
 
Siku zote naamini kuwa katika vijana ambao wanafanya vizuri sana kwenye siasa na maendeleo ya jimbo na wananchi kwa ujumla huyu Filikunjombe ni mmoja wao na anafaa sana kwa sisi wananchi wa kawaida,kama wakiamua kumkata itakuwa ni ukiukwaji mikubwa sana wa demokrasia na itakuwa inafifisha moyo kwa wenye kutaka kusaidiana na wananchi kujiletea maendeleo.

Kwa mtazamo wangu Filikunjombe ni muhimu zaidi kwa CCM kuliko Lowasa. Wakimkata Filikunjombe huyo watakayempandikiza atawaeleza nini wananchi wa Ludewa wakati wa kampeni?
 
Kwako Deo,

Nakusalimu. Nakuandikia ujumbe huu toka hapa Dar es Salaam. Nakushauri,si kwa shari,ufanye hima kujiunga na wenzako. Jiunge 'fasta' na Lembeli na Bulaya. Huko Njombe hautapitishwa na CCM.

Huko tayari kuna mwenyewe. Ushinde au ushindwe kwenye kura za maoni, jina lako litakatwa. Hatutaki wapinzani wa ndani. Asipoletwa Mjumbe mtiifu wa CC, Pindi Chana,ataletwa mwingine. Si wewe.

Amua kuwa Mbunge au kuwa raia wa kawaida. Muda wa maamuzi ni huu.

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Mzee Tupatupa nalo hili nakukatalia ccm pamoja na umafia wao hawawezi kumkata Filikunjombe. Huyu m-bunge kwa chama chochote na hata bila kampeni wananchi wake wanampitisha tena kwa kishindo. Tatizo ni muda kwa wabunge kumalizika na vyama kutoruhusiwa ubunge wa viti maalumu kwa wanaume. vinginevyo angejiunga chadema na kupewa kiti maalumu. Hivi kwa wanaozijua sheria za tume ya uchaguzi vyama vya upinzani nao wamewekewa muda wa kuteua wagombea ubunge wao?
 
Chama Tawala hakina ubavu wa kumkata huyu Mbunge na wala wasijaribu.Habari ambazo bado hazijathibitishwa Mh.Kinana anaenda retirement na sasa wakianza kukata watu watashindwa kuimba wimbo mmoja

Amekatwa Lowasa sembuse filikunjombe? Ataisoma namba!
 
Naangalia ITV sasa hivi..Deofilikunjombe ni jembe.
 
Huyu jamaa ni jembe nchi inahitaji kuwa na viongozi mfano wa deo. Wathubutu kumkata wananchi watahama naye kwenda chama chochote atakachoenda
 
Kwako Deo,

Nakusalimu. Nakuandikia ujumbe huu toka hapa Dar es Salaam. Nakushauri,si kwa shari,ufanye hima kujiunga na wenzako. Jiunge 'fasta' na Lembeli na Bulaya. Huko Njombe hautapitishwa na CCM.

Huko tayari kuna mwenyewe. Ushinde au ushindwe kwenye kura za maoni, jina lako litakatwa. Hatutaki wapinzani wa ndani. Asipoletwa Mjumbe mtiifu wa CC, Pindi Chana,ataletwa mwingine. Si wewe.

Amua kuwa Mbunge au kuwa raia wa kawaida. Muda wa maamuzi ni huu.

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Wewe Mzee wa Ufipa kweli,ata hujui kuwa Pindi Chana hajagombea Ludewa.
 
Deo filikunjombe ni sawa na rais ajaye na kwa taarifa yenu ccm inahitaji kwa sasa wabunge wachapa kazi kama deo na magufuli anapata ka kama DEO sio hao wasimbe mliochukua kama bulaya
 
Kwa kile nilichokiona ITV leo..Filikunjombe ni kiongozi bora!!
 
Kama hajajifunza kwa lowassa sijui tumsaidiaje tena..
 
Back
Top Bottom