Dentist wa Giggy Money

Meno bandia una maanisha nini? Ameyavalisha kwa juu? Meno yake yako Wapi halisi. Kayang’oa? Au Ndio hayo ila kaya shepu na ku bleach? Ushamba huu jmn nisaidie
 
Usinikiss hadharani jau hiyo ujue....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Alafu uliniroga wewe yaani nikakuandikia na nyimbo kabisa kudadek zako wewe sasa hv uniambia mi chefuuu
Hahahaha we mbwa acha ukichaa wako hapa,,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahahaha we mbwa acha ukichaa wako hapa,,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nilete uzi hapa kila mtu aone πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Daaah aiseee utoto ule wallah nilikua nimepagawa na nni sijui au nilikua nakula mjani mimi..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mbona na wewe ulikua unashusha mistari kumbuka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kijana mimi sijawahi shusha io mistari,usitafute pa kuponea
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…