Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 1,773
- 3,878
Atakuwa anataka kumfata gigyNenda Muhimbili wanatoa hiyo huduma
Ni how much mkuu? Muhimbili pale pale au Mloganzila?Nenda Muhimbili wanatoa hiyo huduma
Unaweza kuwa unamfahamu yoyote mkuu unipe connection? Gharama zake?Wapi madentist wengi wazuri
Au unataka kwenda alipofanya huyo msanii wenu ggy sjui
Ova
0756 257321-empire dental clinicUnaweza kuwa unamfahamu yoyote mkuu unipe connection? Gharama zake?
Asante Sana mkuu. Bei zao ni ngapi?0756 257321-empire dental clinic
Wako moroco jirani na airtel
Ova
🤣🤣🤣🤣🤣Mbn picha ya hayo meno haionekani?
Hii ni kwa yule muhindi mkuu?0756 257321-empire dental clinic
Wako moroco jirani na airtel
Ova