Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,944
- 4,511
Kuna kioja kimetokea mitaa ya Mwananyamala hapa kuna denti kaopoa malaya walikubaliana buku 2 dogo akakubali wamezama toilet ya bar maana dogo hana pesa ya kulipia mjengo kwa sekunde akaamua kumalizia ukakasi na huyo malaya toilet dogo kachetuka fasta limekuja swala la malipo dogo katoa tsh.150/= malaya kawaka ndipo alipo jaza watu na si wadau tukasogea eneo la tukio dogo alipo ona malaya anafoka akaamua kutoa kitambulisho kuonyesha yeye ni denti anapaswa kutoa 150/= malaya alijua amedaka mchat wa maana kumbe denti bado nipo eneo la tukio.