alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 5,688
- 12,160
Ukiacha mohamed ling'wenya na adamoo ambao ni maaarufu kuna mtuhumiwa mwingine yeye hufungwa pingu peke yake naye ni commandoo? Anaitwa nani?Denis Urio na Moses lijenje huenda Hawa wote waliuwawa.