ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 15,778
- 36,005
Huyo Ikangalombo amekuja Yanga kubana nafasi tu za vijana wetu akina Nkane
Nkane ni mzuri zaidi ya Ikangalombo
Nkane ana skills za football
Nkane ana speed
Nkane ana akili
Anajua ku cut in kuongeza namba ya viungo na washambuliaji inapotakiwa,
Ikangalombo anakimbia kama amekatwa kichwa au kuku mwenye kimeta
Nkane ana fitness, Ikangalombo yupo legelege labda sababu hajitunzi labda anakula kilevi au kungonoka
Nkane ana ku offer kitu kwenye kushambulia na kujilinda kuliko Ikangalombo ambaye hashambulii Kwa uhakika na ni dhaifu kwenye kulinda
Nkane ni goal getter mzuri kuliko Ikangalombo ambaye hana target
Nkane ni passer mzuri kuliko Ikangalombo, ambaye passe zake hazina macho
Coach wa Yanga mpe nafasi Nkane dhidi ya huyo Mnyamlenge au Koruna kutoka DRC