Denial


kwenye mapenzi hakuna kamari bana yaani ukitaka kuyafurahia lazima uishi uhalisia. nimependa sana mchango wako Nivea
 
Last edited by a moderator:
kwann basi tu usikubali ili uishi kwa hali ambayo ni halisi kwako??
then love isingekuwa blind. hujawahi kufanya something ukiwa in-love ambacho ukitafakari now unajiuliza 'what was I thinking?'
 

Mwalimu gfsonwin sidhani kama we preach something new ila tunachojaribu kusema ni kuwa kila anayeingia kwenye kupenda awe makini sana yaani aangalie kila angle na awe na masikio pia ya kujudge kiila analoambiwa
Anapopenda asipende kwa moyo tuu bali na akili yake iwe makini kusikiliza na kuamua na vile vile awe mwangalifu popote anapoangukia (nimeponzwa na thread ya Nicas Mtei hapa nimebase sana kwenye kuachwa na mawazo yangu yako kule sana samahani mwalimu)
 
Last edited by a moderator:
Gaijin ni kweli haya unayoyasema but pia wapo wengi tu ambao waliambiwa huyu sio sahihi wakakaidi na mwishowe wakaja kujuta mpaka hata kujiua.

Just thinking aloud.
MFN. Nimeambiwa huyo mchumba wako ni mchafu si kidogo, lkn nikaingia kwa ndoa anyway; lkn with an attitude ya kutomuamini na kumchunga asitoke. So kumkagua simu, kumfuatilia anapokwenda with (PIs), nagging etc; suppose hiyo attitude yangu ikawa inampiss off kiasi kwamba tunagombana na nyumbani anakuona kuchungu. Huoni hiyo attitude yangu iliyochangiwa na warnings nilizozipata itachangia kumpush away and hence ile 'mchumbao hafai, mkorofi halafu kitombi' inaweza kutimia under my influence????
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo facts zinaweza zisimaanishe chochote

Watu wanapowaambia wenzao hizo facts wawe na aste aste maana watu wanatofautiana interpretation ya mambo na ndio maana wahenga wakasema, mzigo wa mwenzio ni kanda la usufi

the issue is how do you take what you hear. ngoja nikukumbushe during my time sikuwah kubisha kwamba tabia ya mwenza wangu ilikuwa mbaya na nilipoikubali sikukubali wa kuambiwa tu nilitaka kuprove mwenyewe. mitego yangu ilinasa ukweli na hapo nikajua aina ya mtu niliye naye kwa wakati huo.

nikajiuliza ninataka nini?? nikasema ninataka mume wangu, haya mengine nita yatoa katika maisha yangu. nilisumbuka jinsi ya kuyatoa but niliweza kuyatoa. jambo ambalo nilijifunza ni kwamba ni bora kukubali ukweli wa jambo juu ya mwenzi wako kisha ukalifanyia kazi kama alivyosema Nivea ili uish maisha ambayo yatakupa furaha mbeleni.
 
Last edited by a moderator:
kwenye mapenzi hakuna kamari bana yaani ukitaka kuyafurahia lazima uishi uhalisia. nimependa sana mchango wako Nivea
gambler ipo sana ,ulishawahi ona mtu anaishi na kicheche eti aki expect atabadilika for the couple of years?tena na mafumanizi ya heshma,na dharau na what ever uchumba huo sio ndoa na anajiingiza anaolewa na huyo mtu eti ntamwombea abadilike hii ndio gambler ninayoizungumzia unacheza tutututu ukiamini ipo round utashinda!!!undderstand dear sis
 
Kuna watu walishaambiwa mpenzi wako yuko hivi mara vile mara hivi... Walipoachana tu mtoa ushauri akachukuwa ngoma... Hivi hapo huyo mshauri wa mwanzo, au akikufuata mshauri mwingine na kurudia kukupa ushauri kama ule wa mwanzo utafanyaje kama si DENIAL? SOMETIMES HOW YOU LOOK AT A PROBLEM, IS A PROBLEM ITSELF
 
Denial can be shock absorber, nafikiri ni muhimu kwa afya ya akili ila usikae nayo kwa muda mrefu.
 
MARA NYINGI WATU KINACHOWASHINDA NI KUUKUBALI UKWELI KUWA MWENZIE HANA BAADHI YA VITU AMBAVYO ANGEPENDA AWE NAVYO.... Na hili linawahangaisha wengi sana........ JAMANI KUMBUKENI, MWENYE ASILIMIA MIA YA UNAYOYATAKA MWENZIO AWE NAYO NI WEWE NA MUNGU TU...
 
mwali
unajua hii ndo ile pacha wangu SnowBall(naye sijue kapotelea cha wapi ) aliwahi kuuliza ""hivi siwezi penda macho yangu yakiona uhalisia?""
kiukweli kuna vitu ili tuweze kusema tumependa tunakuwa radhi kusema hatuvioni (ukweli ni kwamba tunaviona ila tunajipa moyo na kuamini kuwa love will take care of this)

kuna self denial pia!kuna wakati au kuna tabia tunazona tunajua ni mbaya au zinaumiza tuwapendao but tunakataa kuwa si zetu!and the vice versa!

kimsingi hii makitu mapenzi hutufanya tutembee miles nyingi kuliko uwezo wa kawaida.

SHIKAMOO MAPENZI!
 
Last edited by a moderator:
hvi kwann tuseme haya mapenzi ni ukichaa ilihali vichaa ni sisi wenyewe ambao muda mwingine tunakataa yaliyo ya maana na ya kweli kwetu??

Siyo kwamba tunakataa yaliyo ya maana kwetu na ya kweli kwetu kwa makusudi, ila tunakuwa na hope kuwa may be he/she will change, may be hii ni transition tu and the real time is still to arrive..........and thus why kuna ugumu wa kufanya maamuzi ya kuachana na hii inashikilia na nadharia kwamba huenda ndio unapishana na gari la mshahara, so keep wait the real time is comming.........na ikiendelea kuthibitika kuwa aaahhhhhh kumbe huo ukweli ndio ukweli wenyewe na wala sio transition basi ndio utasikia wapenzi wamechokana na hatimae kuachana......ndivyo nionanvyo mimi!!
 
Denial can be shock absorber, nafikiri ni muhimu kwa afya ya akili ila usikae nayo kwa muda mrefu.
Shock absorber nazo huwa zinaisha Kaunga, cha msingi ni kuukubali ukweli kuwa mwenzio kuna vitu hana na haviwezi
 

Hii ni kuwapa watu wengine right ya kuingilia yasiyoyahusu tu.

Jee ingekuwa umeambiwa ana tabia mbaya fulani lakini ukahangaika kujaribu kumnasa na ukakuta hana (kwa mtazamo wako), ungemchukuliaje aliyekwambia?

Jee moyoni pako pasingekwisha ingia Shaka na kupoteza trust kwa mumeo bilashi?
 
Last edited by a moderator:
The phenomenon of love.

Love is powerful and blinding that it can make right feel wrong and wrong feel right.
 

umerise issue nzuri sana ya kwamba how do handle yale ambayo tunaambiwa juu ya wenzi wetu?? nikupe mfano wa kwangu mimi.

mtu wa kwanza kuniambia kwamba hubby wangu anatoka na mtu alikuwa na mdada rafiki yangu. aliponiambia nikamshukuru sana ninarudi home. nilisema sitapiga kelele wala nini bali nitaseti mitego yangu nijiridhishe ili nijue nini nitafanya.

uzuri ukitumia ubongo wako vyema utapata suluhu nzuri sana, nilipose huku nikiumia moyoni lkn nikijua nataka nini. nilishirikisha rafiki yake wa karibu na ambaye nili win trust yake hadi nika prove mwenyew. nilipomuuliza kwa upendo akaanza kuonyehsa makucha yake jinsi yalivyo.

sikubabaika manake nilikubali ukweli. kisha nikasema ninataka nini?? niliposema ndoa yangu naitaka nilikaza kusali na kuwa mpole sana nikajishusha na kisha Mungu akaniinua kwa muda wake. anyways haikuwa nia yangu kufika huku but sikuwa na teaching aid nyingine
 
Hilo hasa ndilo jambo la msingi na naamini watu wote tungekuwa na mtazamo kama huo majuto ndani ya ndoa yangekuwa haba au hamna kabisa.
 

mimi nafkiri ningekuta si kweli wala nisingekuwa na shida as nilikuwa nataka kujua ukweli na ukweli kwangu ulikuwa ni yy kuwa clean but nipofika kwamba hauko clean na penyewe sikulaumu sana kwana binadamu tunatofautiana
 

I lyk the novel jamani! Ila inatokeaga kwa wanawake zaidi kwamba hupotezea shutuma za wanaume wao na mambo yanapokuwa mabaya ndipo hujuta...! Huishia kufa kwa kipigo, mshtuko, magonjwa au suicide...! Sijui ndo love is blind, deaf and dumb yenyewe?
 
Haaaahaaaahaaa snowhite umenisheksha sana aisee,naomba nichukue position ya mapenzi MARAHABA WATU.
 
Last edited by a moderator:
Kaunga kesha sema denial ni shock absorber
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…