Deni la Taifa lazidi kupaa na kufikia 77 trillions

Kikwete aliacha deni la Taifa likiwa 43 trillions miaka mitano na nusu baadaye limeongezeka kwa 34 trillions!!!!!
Tuambie aliacha ndege, Meli ngapi mpya, bila kusahau miradi mingapi. Kuna mda muwe mnaficha ujimga wenu.

Kwa taatifa yako mama yako anajitahidi kuongeza
 
Deni kwa mwaka linaongezeka kwa 6,800,000,000,000 Trillioni 6.8 kwa maana hiyo kwa kasi hii 2025 deni la Taifa litaongezeka kwa 27,200,000,000,000 hivyo litafikia 104,710,000,000,000 trilioni 104. 7.

Noma kweli !
 
Huna elimu ya kujadili yaliyokuzidi kimo zaidi ya kuonyesha ujuha wako hadharani. Mkiambiwa shule muhimu hamuelewi!! Sasa unabaki kuandika ujinga.

Tuambie aliacha ndege, Meli ngapi mpya, bila kusahau miradi mingapi. Kuna mda muwe mnaficha ujimga wenu.

Kwa taatifa yako mama yako anajitahidi kuongeza
 
Ikifikia 80% ya pato la Serikali ikiwa inaenda kulipa deni na riba TUMEKWISHA!!!! Huwezi kufanya lolote lile nchini ikiwa 80% ya bajeti yako inaenda kulipa deni la Taifa.

Punde si punde tutakuwa Kama Zambia yaani tutashindwa kulipa
 
Tuambie aliacha ndege, Meli ngapi mpya, bila kusahau miradi mingapi. Kuna mda muwe mnaficha ujimga wenu.

Kwa taatifa yako mama yako anajitahidi kuongeza
hoja dhaifu sana ! fuatilia vivuko na meli alizojenga Songolo Marine rafiki wa Magufuli , duni mno ! Kyela chupuchupu kuua watu , hadi sasa ziko benchi , labda wadanganye wajinga
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kikwete aliacha deni la Taifa likiwa 43 trillions miaka mitano na nusu baadaye limeongezeka kwa 34 trillions!!!!! 😳😳😳😳😳
Magufuli aliiba sana na kukopa mno alafu akwa anadanganya kwamba tunalipa wenyewe deni la Kwa miradi ya ndani
 
Deni kwa mwaka linaongezeka kwa 6,800,000,000,000 Trillioni 6.8 kwa maana hiyo kwa kasi hii 2025 deni la Taifa litaongezeka kwa 27,200,000,000,000 hivyo litafikia 104,710,000,000,000 trilioni 104. 7.
Uchumi unakuwa kwa kiwango gani? Ovyo
 
Wanakopa mapesa Mengi cha maana wanachofanyia hakipo, pesa wanazifanyia UHANISI, matumizi ya hovyo tu.
Kwenye kulipa wanatuletea TOZO na MAKODI wananchi. Pumbavu kabisa kabisa..
 
Back
Top Bottom