Deni la taifa lafikia trillion 40

Deni la taifa lafikia trillion 40

mimi nafikiri kuna haja ya kupeleka mswada bungeni kufuta pensheni zote za rais yeyote atakae itia hasara nchi hii itasaidia sana kuendelea kutotumia kodi zetu kumtunza mtu alieliletea hasara taifa

Ni sawa kabisa. Ila kwa sasa ni ngumu kwani watanzania kwa ujinga wao wamepeleka wabunge wengi wa ccm, si unajua ma ccm kazi yao ni kulindana kwa maovu yao. Tusubiri mpaka pale watanzania watakapojitambua na kujua kuwa haitakiwi kuacha chama kimoja kudumu madarakani muda mrefu. The good thing ni kuwa kadri siku zinavyoenda wanazidi kujitambua.
 
Wadanganyika ktk ubora, deni la Taifa eti bado linastahimilika???!????!???
 
Deni dogo sana na bado tunakopesheka.

Hakuna haja ya kulalamikia deni dogo hivyo.

Marekani ana deni la zillions kadhaa za kitanzania ba bado anakopesheka sembuse sisi.

Nasema deni bado dogo, magufuri anatakiwa kuuondoka madarakani angalau tuna deni la trilioni 120.
 
Kuanzia Leo atakaye kopa huyo huyo ndie alipe.., tusibebeshane mizigo isiyo na msingi
 
Deni la taifa linazidi kupanda huku wananchi wa kawaida hawaoni mabadiliko yoyote katika secta muhimu hapa nchini hata moja! Elimu hali mbaya, afya huwezi kusema kitu, sayansi na teknolojia hapa kitu kabisa etc

Magufuli bila kuongeza deni na kuanza kulipa deni lilipo sidhani kama anaweza kufanya kitu cha maana sana
 
Wabunge woooooote wakopeshwe magari yaliyopo hakuna gari mpya. Mbona wenzetu nje hakuna gari kwa mbunge wala waziri police wala jeshi kila raia kwao ni sawa ni kugawanya majukumu lakini gari nyumba ni jukumu la kila mtu sio kodi ya wananchi
 
Mimi sina chama ila inanitisha nipoona watanzania walio wengi wakishabikia mambo bila kufikiri. Hii nchi imeliwa na wauwaji kisha tunashabikia bila kuona ukweli kuwa watoto, wajukuu, na watoto wao watalipa huu ujinga. Watu anapodai mabadiliko ya kweli wanajua wanachodai. Tunahitaji katiba mpya tunyooshe mambo hili kundi la ccm halitufikishi mahali. Ndungai alitakiwa awe kifungoni kwa kile alichokifanya wakati wa kampeni, badala yake atakuwa spika. Hivi tutakaa tusolve tatizo lolote Tanzania? Tunajitakia shida na hili deni tutalilipa kama sio sisi watoto wetu na ajukuu zao. Tuache kushabikia na badala yake tujinusuru sisi na vizazi vijavyo.
 
Spika mtarajiwa alifanyaje tena tumjue mapema?
 
Na bado namba mtaisoma sana watanzania
 
Na bado, inflation inakuja kutokana na pesa za uchaguzi

JK alikuta deni Tr 9 sasa ni 40!!!

#Hpa kaz tu
 
Nyerere aliwahi mshauri Marehemu Kabila rais wa DRC/Zaire kuwa asikubali kulipa madeni yaliyokopwa kipumbavu na kwa anasa za Mabutu. Nasi tz madeni yaliyosababishwa kipuuzi na mkwere bili yake ipelekwe msoga.

Teh teh
 
Deni dogo sana na bado tunakopesheka.

Hakuna haja ya kulalamikia deni dogo hivyo.

Marekani ana deni la zillions kadhaa za kitanzania ba bado anakopesheka sembuse sisi.

Nasema deni bado dogo, magufuri anatakiwa kuuondoka madarakani angalau tuna deni la trilioni 120.
Hii ni hasara ya kutomaliza dozi ya Mirembe.
 
Kiwango cha mwisho kukopa ni 50% Tanzania ndiyo kwanza tupo 20% na Kenya wapo 40% Kwahiyo bado Dr Magufuli anayo nafasi ya kukopa!! #Mtaisomanumber ccm ni ile ile
 
ni kweli kabisa tukifanya hivyo hata bungeni wataenda wazalendo tu sio kama sasa bunge limejaa wapigaji tu

Utawaflisi wabunge ambao wengine ni mara yao ya kwanza itakuwa uonevu ni bora aliyesababisha haya ndyo awe wa kwanza kufilisiwa
 
Watoto zao wanataka uspika, Na kwa CCM ilivyo watapewa. jee utategemea nini?. kama sio deni kuongezeka?
 
Back
Top Bottom