Tunachukua kile kinachoendana na mahitaji yetu,tuchukue umeme wa nyuklia wakati tuna nyerere dam na hatumalizi hata umeme tunazalisha Sasa hv,na bado tuna potential ya umeme safi wa upepo
Tunachukua kile kinachoendana na mahitaji yetu,tuchukue umeme wa nyuklia wakati tuna nyerere dam na hatumalizi hata umeme tunazalisha Sasa hv,na bado tuna potential ya umeme safi wa upepo
Mkuu,nimeelewa hoja yako,shida hii nchi yetu haina vipaumbele.Mfano kwenye kilimo mpake sasa tunategemea mvua ya mwenyezi MUNGU,wakati nilipitaga kama sikosei MBARALI,kuna mashamba ya mwekezaji hategemei mvua
Mkuu,nimeelewa hoja yako,shida hii nchi yetu haina vipaumbele.Mfano kwenye kilimo mpake sasa tunategemea mvua ya mwenyezi MUNGU,wakati nilipitaga kama sikosei MBAR
Kuwa na madeni ya mikopo ni jambo la kawaida sana kwa maendeleo ya mwananchi au taifa lo lote hapa duniani. Msikilize hapa seneta wa USA anavyoelezea ukubwa wa deni la mikopo ya taifa hilo kubwa ulimwenguni.
Linganisha deni walilikonalo dhidi ya gdp yao kisha linganisha leo na gdp yetu.
Ni sawa na kufikiri masikini kidaiwa milion 10 ana afadhali au ni sawa na Mo kudaiwa bilion 2