Dengue Mchana usiku Malaria

Kuvaa nguo ndefu, nitaanzaje mie labda suruali
 
Reactions: Mbu
Mbu badilisha jina na avatar yako basi !!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Mbu
Popote Penye ugonjwa wa Dengue hapatakuwa na Malaria. Mbu ambao wanaoambukiza dengue ndio mbu wanaowala na kuwamaliza mbu wanaoambukiza malaria. . Nchi nyingi zenye maambukizi ya dengue hazina malaria. ..
 
u Mbu nina hasira na wewe ujue? Kila nikiwaza vijana wako shule nakosa raha. Repellant zenyewe nanunua bure, hawatumii au wanarudi wamepoteza.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Mbu
Afu hawa mbu wa dengue sio wale walikuwa wanafugwa Muhimbili kwa majaribio? Bora Malaria yetu tumezoeana, tunataniana na kucheka pamoja.

Ndio wale wale walioletwa ili wawateketeze mbu wa malaria waliokua wengi sana maeneo ya Muhimbili. Inasemekana kuwa wapo wagonjwa wengi ambao wameumwa dengue lakini wamepata matibabu ya malaria jambo ambalo limesababisha vifo vingi. ..
 
Reactions: Mbu
u Mbu nina hasira na wewe ujue? Kila nikiwaza vijana wako shule nakosa raha. Repellant zenyewe nanunua bure, hawatumii au wanarudi wamepoteza.

.....#mtajiju ! ....ni mwendo wa ari mpya, nguvu mpya, na kasi mpya.
Pesa za miradi mmekula, mkitumia DDT majanga,......

Hapa ni Malaria, ukipona Dengue, ukiepa na hilo Matende na mabusha,
....ukinusurika homa ya manjano #mpakaKieleweke !

Vumilieni tu!

#MosKwito !
 
Last edited by a moderator:
Popote Penye ugonjwa wa Dengue hapatakuwa na Malaria. Mbu ambao wanaoambukiza dengue ndio mbu wanaowala na kuwamaliza mbu wanaoambukiza malaria. . Nchi nyingi zenye maambukizi ya dengue hazina malaria. ..
kwa hiyo bora ipi?
 
Reactions: Mbu
Hawa wataalam wetu watatuua jamani, yaani walileta bila kujua athari zake za muda mrefu?

Ndio wale wale walioletwa ili wawateketeze mbu wa malaria waliokua wengi sana maeneo ya Muhimbili. Inasemekana kuwa wapo wagonjwa wengi ambao wameumwa dengue lakini wamepata matibabu ya malaria jambo ambalo limesababisha vifo vingi. ..
 
Reactions: Mbu
 
Nimecheka sana aiseeee!!!!!!!!
 
Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…