Dena Dena Dena Dena Dena Amsi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

the head of diplomatic mission in my brain ameelewa and hayuko tayari kuona nikifanya hilo.


Nijibu:hw will you go around beating you wife?

Nadhani kilichokutisha mazeruzeru huwa hawataki NENU, bali wanataka BUFFEE wajisevie wenyewe.
 
Jamani nawasalimu wapendwa wote wa MMU.

Nimekaa na kujiuliza mbona thread kuhusu mimi zimekuwa nyingi mno???

Hii inanipa wasiwasi nawaombeni mni-PM kuliko kunianzishia thread kila kukicha wajameni tafadhali. Imekuwa kila siku mara namzimia DA, namposa DA, naanzisha mchango wa laptop kwa DA heee kwanini mimi kila siku bana.

I better stay away for a while angalau nipumzike this is too much bana kha!!!!.

Regards

DA

Ulitakiwa uwajibu hao wanaoanzisha thread kwenye hizo thread au kutochangia kabisa. Tatizo lako unazijibu weee halafu leo unalalama ndiyo mana hawakuelewi kama upo seriaz. Usiwe ndani nje bali uwe na msimamo thabit. Maana hueleweki kabisa
 
Ana lake lipi zaidi ya kuhakikisha kondoo wote ndani ya zizi wanabehave?

Hana dini huyo! Hujibu PM zangu kama 79 hivi tangia niweke namna ya kukupa kichapo! Ngoja nianze na masredi mengi mengi
 
Hupendi kuanzishiwa thread hapo hapo unapenda kujianzishia thread...
Watu kwa kupenda umaarufu kaazi kweli kweli

Ma-celebrities wakishuka umaarufu wana-fake bifu na mshikaji basi anarudi kileleni.
Ongera Dena kwa kuwa observant.
 
ha,ha,ha,ha,haaaa.... Wenzio huwa wanaliliaga bahat hyo wewe unakataa au hautaki kusupuliwa ili upate cha kulalamika shaur yako bahat hiyo DA we ichezee 2uu
 
DA,

"..Usiogope, bali nena wala usinyamaze, kwa kuwa mimi ni pamoja nawe, wala hapana mtu atakeyekushambulia ili kukudhuru; ..."
Matendo 18: 9-10
 
Hana dini huyo! Hujibu PM zangu kama 79 hivi tangia niweke namna ya kukupa kichapo! Ngoja nianze na masredi mengi mengi
Nlikua napiga mahesabu jinsi ya kukwepa kichapo nikakutana na video inayoelezea jinsi ya kumshusha baba mchungaji hasira hata kwenye hali kama ile!!
 
Nlikua napiga mahesabu jinsi ya kukwepa kichapo nikakutana na video inayoelezea jinsi ya kumshusha baba mchungaji hasira hata kwenye hali kama ile!!

Lizzy lizzy Lizzy
Lizzy lizzy Lizzy

Lizzy lizzy Lizzy

Shaurilo!
 
Usema ukweli
mi naona hao walioanzisha hizo
poster saa nyingine wanataka umaarufu au kujiongezea posters ,thanx na like..ndoo maana wanamchagua mtu ambae anapendwa na wengi ili tufuatilie hiyo poster..
 
Usema ukweli
mi naona hao walioanzisha hizo
poster saa nyingine wanataka umaarufu au kukuongezea posters ,thanx na like..ndoo maana wanamchagua mtu ambae anapendwa na wengi ili tufuatilie hiyo poster..
Hey
Alafu wewe nakutamani kweli sema kila siku nakuvizia pale kijiweni alafu hutokei.....fanya mpango basi!
 
naona na wewe uko via mobile, nikuanzishie sred la kukuombea mchango?
Ad hao wanaompenda DA wanamjua? Manake kweli imekuwa too much, sijui na utoto unachangia? Hawana vitu vya maana vya kutuletea kwnye jamvi? Watupumzishe bana.
Usema ukweli
mi naona hao walioanzisha hizo
poster saa nyingine wanataka umaarufu au kukuongezea posters ,thanx na like..ndoo maana wanamchagua mtu ambae anapendwa na wengi ili tufuatilie hiyo poster..
Hey
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom