Aaagh Dena vp tena...ile post ya posa la uchumba uliikubali maguu 100...tulijaribu kukutetea,ukatu-diss ukadai tuna wivu kwani we ni msichana lazima uolewe...sasa leo vp ??mbona na wewe waanzisha sredi nyingi ku-complain same??umezijibu kwa kunoga na watu nao wamenogewa....kwanini isiwe kwa Afrodenzi au Preta au pauline,au lizzy au mwanajamii 1 na wengine??hawa hawataki mambo ya kijingajinga na wanajua kudeal na hivi vifataki!!ndio maana hukuti mada za ajabu kuhusu hao watu.
Nahisi more is coming if u dnt take right measure on tht..sijui ukiona fahari ama??imekula kwako!!