sosoliso
Platinum Member
- May 6, 2009
- 8,543
- 9,478
Kipenzy changu sosoliso............niseme nini zaidi ya nakupenda na nakumiss huku niliko! natamani ningekuwa karibu yako unidekeze mie..........:A S kiss:!!
Nakupenda sana pia mtima wa nyongo yangu Paloma.. Wewe ndo wanifanya nione raha ya kuishi hapa duniani..
Najua wako wengi wanaochachawa na mahaba yetu.. Kamwe hawataweza.. Watabaki kama pweza wakiwa wanapwelea..
Last edited by a moderator: