dah! kwanza niambie ilikuwwaje ukamuacha mandeny??
Mamndenyi anajua zaidi kilichotokea...nilimpeleka shamba na ndipo yote yalipoisha....nilirubuniwa na Paloma...:yell:
Unaona Baba V anacyotudhalilisha aise
Sasa nitatangaza kuyaunga mkono mapinduzi ya kumuondoa madarakani maana nimemuheshimu ila anageuka kuwa adui kwa kutuzushia kashfa
Baba V mimi na Vin Diesel hatuna tabia hiyo na kwa taarifa waone akina Arushaone king mswati na ETIckb52 wenye wake na nyumba ndogo kama utitiri na sio sisi vijana waadilifu kabisa tusio na doa haya maneno yako naomba uyafute kabisa
Copy mwalimu gfsonwin na Lady doctor
Tulikubaliana na Dena Amsi kusameheana ba kurudi kwenye mstari wa ndoa na kuheshimu ndoa maana tulishakula kiapo na chapaswa kuheshimiwa na tulee familia na nikaona ni uamuzi wa busara n mojawapo ya sharti ni kuachana na nyumba ndogo zote na kila aina ya baya na kusameheana na kufuta kumbukumbu zote za mabaya ya zamani ndo maana tukakubaliana kurudiana
Sasa hapo wewe ambaye unatuusia kudumisha ndoa na viapo vyetu kulikuwa na kosa au kulikuwa na haja ya kuendelea na nyumba ndogo wakati mshakubaliana na mwenzako
Sikuwa na namna zaidi ya kumwambia wazi Mamndenyi kuwa huu haukuwa uhusiano as long as ndoa yangu haikuvunjika kabisa was just separation na nilikuwa na haki ya kurudiana na Dena Amsi and that what we agree.
Je hili ni kosa mpaka Baba V atangaze kuwa sisi na Vin Diesel tuna makosa
Naongea kwa facts na sio uzushi, unakumbuka Dena Amsi alikuja kwangu kunipa taarifa ya kuvunjika kwa ndoa yenu nawe ukaridhia na kutangaza ndoa na Mamndenyi na nikaibariki..!?? ongea kwa vigezo na usitishie kuning'oa uenyekiti, uenyekiti sikuukuta barabarani, I know how to play the game pal.. you wanna test it!??
Mbona haya yanakuja leo, !!??
mke wangu The secretary lini umeanza ukuwadi?
Vin Diesel njoo huku bana ujiteteteee usionewe na Baba V ambaye anaonekana bias kwa maamuzi yake mengine na anapendelea kwenye kuchukua maamuzi mazito
we The secretary huyo Erickb52 kinyang'anyiro hakimuhusu.... Ye sitayari anawake me nataka single boys tu!!
nimeshasema alioko tayari na atangaze ila vigezo na masharti vizingatiwe otherwise sitoona hatari kuvunja ndoa kama havijazingatiwa