Mkuu Baba V
Napenda kuchukua nafasi hii kukujulisha kuwa baada ya majadiliano ya muda mrefu na kupitia file la kila mmoja baina yangu na Dena Amsi na kupitia kifungu kwa kifungu na mabishano na majadiliano ya muda mrefu tukiwa strong room, hatimaye muafaka umefikiwa
Ndoa hii imerudi kama zamani na kwa taarifa ya wana CC wote Mr Rocky na Dena Amsi wamerudiana rasmi na ndoa hii naamini kwa sasa itakuwa imara kuliko ndoa zote za CC
Tumefikia maelewano haya baada ya kujadiliana na kuonekana kuwa wote tulikuwa tunahangaika na ndo maana tumeamua kuzika tofauti zetu na kuamua kuwa kitu kimoja
Kwa taarifa hii ndoa ya mashaka iliyokuwepo kati yangu na Mamndenyi imevunjika rasmi na Mamndenyi yuko huru kwenda kwa mtu yoyote anayemtaka
Taarifa hii iende kwa Erickb52, Bishanga, watu8, Blaki Womani, Preta, binamu zangu Passion Lady, Paloma, Madame B charming lady , mwalimu wangu gfsonwin, snowhite, sweetlady, kaka yangu SnowBall na HorsePower, AshaDii, Filipo, marejesho, stevoh, manoah, Slave, Mamndenyi, na wadau wote wa CC
Dena Amsi karibu sana kwenye himaya ya Mr Rocky
Mkuu HorsePower uzalendo ulinishinda nikatafuta nyumba ndogo Mamndenyi kwa ajili ya kupitisha siku ila hata yeye Mamndenyi alijijua tuu kuwa anaiba na kama ni uhusiano uko ICU unasubiri kuondoka siku yoyote
na amani nitaipata sasa maana hukuisha
Kwa nini nisijiulize, tuko wangapi? Maana nalazimikia kuamini kuwa Mamndenyi naye alikuwa na nyumba ndogo yake somewhere else!!!
Asante sana mkuu Slave ila na wewe mpende mkeo Evelyn Salt banaondoa shaka nipo nawe bega kwa bega.
figganigga asante sana mkuu pamoja sanaMungu awaepushe na mabalaa ya chit chat. mia
manoah asante mkuu pamoja kakaMr Rocky ! kila la kheri
Naona umeamua kucheza dansi la kwasa kwasa baada ya nyimbo za kwaya kukushinda
figganigga asante sana mkuu pamoja sana
manoah asante mkuu pamoja kaka
nitonye la kwaya lilinishida haswa baada ya sweetlady kutimkia kwa Nicas Mtei
Nasikia Nicas Mtei ana kesi ya ubakaji
Mkuu Slave mpaka kaka yako ulikuwa humuamini aise Dah mbaya sana hii
Hata yeye anajijua jinsi ninavyo mpeee………….!!?? Mpenda.Asante sana mkuu [B said:Slave[/B] ila na wewe mpende mkeo Evelyn Salt bana