ahahahaha, lol
au SIAMBILIKI MWANAKWETU DIVORCED
Niwe mkweli, nimeiona hii joke so many places, ila leo ndo nimeweza kuielewa...maana umemalizia na "ndo kinywaji gani tena hiki?" mi sikujua kuwa hivo ni vinywaji, I siriasly thought ni majina ya watu... Thanks kwa kufafanua!!!!

huna tofauti na Asha selemani.
Hii imepinda zaidi!Juma Kigeuzwa - Gay.