Demu wangu kasafiri

Demu wangu kasafiri

kaly

Member
Joined
Aug 6, 2011
Posts
63
Reaction score
3
Ndugu zang kama umjuavyo tabia za wachaga mwishoni mwa mwaka lazima warudi wakahesabiwe makwao.Msichana wang nae yupo kwenye hilo kundi hivyo ntakuwa free mpaka january 2014.Msichana mzuri mwenye mvuto anayetaka tuwe wote kwa hiki kipindi anipm. Tafadhali lazima uwe na mvuto.
 
very nyc...nimependa ulivyosisitiza awe na mvuto lol
 
Kaka vitu vingine sio sifa.... imagine ungekua umeoa then mke wako akajifungua, anatakiwa kukaa almost 40 bila kula tunda... ingekuwaje?
 
Ndugu zang kama umjuavyo tabia za wachaga mwishoni mwa mwaka lazima warudi wakahesabiwe makwao.Msichana wang nae yupo kwenye hilo kundi hivyo ntakuwa free mpaka january 2014.Msichana mzuri mwenye mvuto anayetaka tuwe wote kwa hiki kipindi anipm. Tafadhali lazima uwe na mvuto.

kuna kabinti kameni pm kamesema kata kuwa kapweke huko moshi nikakaliwaze katika kipindi cha exmas maana mchumba wake hakwenda nae. Sasa isije akawa shemeji?
 
Wewe nawe ni mzigo katika mapenzi

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Nakuskikitikia demu wako na yeye atakuwa anasema hivyo hivyo huko alipo..
 
Ndugu zang kama umjuavyo tabia za wachaga mwishoni mwa mwaka lazima warudi wakahesabiwe makwao.Msichana wang nae yupo kwenye hilo kundi hivyo ntakuwa free mpaka january 2014.Msichana mzuri mwenye mvuto anayetaka tuwe wote kwa hiki kipindi anipm. Tafadhali lazima uwe na mvuto.

mwenzio kachoma nyumba huko tabata we leta ujinga kwahiyo demu wako akisafiri basi unajiachia jiheshimu ww acha umalaya
 
Moment of silence for one fool alive....
 
ulichoandika hapa pia kinaenda kutendwa na mpenzi wako huko alikoenda!

sasa fanya evaluation!
 
Wewe jipe moyo tu eti demu wako kaenda moshi kuhesabiwa. Demu yupo hapahapa mjini anagawa kwa wengine. Kwani umeambiwa uko peke yako?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom