Demu wangu kasafiri

Demu wangu kasafiri

Kaka vitu vingine sio sifa.... imagine ungekua umeoa then mke wako akajifungua, anatakiwa kukaa almost 40 bila kula tunda... ingekuwaje?

Kula kazi za nje sio dhambi mkuu,ndo nyie mnaojifanya kupenda mpenda sio mkeo/demu wako akipigwa nje ni risasi au kuchoma moto nyumba. Mayombo zoea vya nje pia
 
Kwanza tutake radhi, aliyekuambia huwa tunahesabiwa nani? Hivi sikukuu ni sisi huwa tunakwenda makwetu tu?
 
Ndugu zang kama umjuavyo tabia za wachaga mwishoni mwa mwaka lazima warudi wakahesabiwe makwao.Msichana wang nae yupo kwenye hilo kundi hivyo ntakuwa free mpaka january 2014.Msichana mzuri mwenye mvuto anayetaka tuwe wote kwa hiki kipindi anipm. Tafadhali lazima uwe na mvuto.
vivian bado unang'ang'ania tena kwenda Tarakea?Umemuona mwenzio ameanza kujiandaa?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom