Ngolewasima
Member
- Apr 4, 2017
- 51
- 112
"Demu wa Kibongo ukimwambia Nakupenda muda huo huo anakua YATIMA,,,anataka umnunulie Simu, Nguo, Viatu nk."
Mkuu ndio umemaliza kuandika uzi."Demu wa Kibongo ukimwambia Nakupenda muda huo huo anakua YATIMA,,,anataka umnunulie Simu, Nguo, Viatu nk."
Kwani wewe haujawahi kukutana nao hao wa aina hiyowe mwenyewe si unakuwa umejitangaza kama NGo's za wanawake sasa endelea tu kumsaidia
Mkuu kwa bahat mbaya huwa sijapataga bahati ya kukutana na hao watu .Kwani wewe haujawahi kukutana nao hao wa aina hiyo
Nadhani kaenda chooni anakuja kumalizia uzi.Mkuu ndio umemaliza kuandika uzi.
"Demu wa Kibongo ukimwambia Nakupenda muda huo huo anakua YATIMA,,,anataka umnunulie Simu, Nguo, Viatu nk."