Demu wa facebook

Acha hzo man!utapotea!mademu wengi wa facebook si waaminifu.hvyo nakushauri mmwage kwan kuna kila dalili za kuumia mbele muendako kama utamuendekeza.pia acha tabia ya kutongoza ovyo kwenye facebook kwan unajichoresha.
 
hatujui matumizi yake ile kitu,tunahisi ni ya kutongazaniana tu...naungana namkuu mmoja fb girls (many of them) ni sawa kabisa na mabaamedi ukitongoza hata na id kumi tofauti zote unakubaliwa,kituo chao mlimani city
 
Du. usiku wa tarehe mbili august 2011?sawa. Hivi huko facebook ndo pakutongozea? Kwakweli nilikuwa na account ya facebook ikabidi niifunge kwakuwa sikuona chochote cha maana zaidi ya kuuza sura tu, huwezi kupata mchango wa mawazo wala ideal mpya zaidi ya usharobaro tu, unakuwa na friends 100 unajuana na 5 tu, utakuta wanaume kazi kuadd ladies tu kuwa friends, wengine wala hawaweki picha zao halisi.

huo ni ujinga tu wacha facebook love story

Mkuu the same happens to me. Unajikuta kwa siku kuna friends 100 wako on line ila unaowez akuchat nao issue za maana ni wawili na wengine either hata ukituma msg hawajibu au wakichat na wewe hawana issue ya maana
Niliifunga account mapema sana
Issue nyingi ni za kutongozana na kuombana vocha za simu hata kama hawakujui

Kwa nini uwe na friends 100 halafu watano ndio wa maana tuu? Nani ali add hao friends kama sio wewe mwenyewe? Wa kulaumu hapo sio facebook, bali ni wewe mwenyewe. Wewe ulikuwa una add friends tuu bila hata kungalia wanachoandika humo au ambao walikuwa na interests tofauti na zako. Ukipanda changarawe usitegemee kuvuna mahindi.
 
Endelea na maisha yako tu! Wanawake wako wengi, huyo hajatulia na atakuja kukuumiza mara mbili zaidi. Mimi huwa nasema bora niwe na mwanamke mwenye matatizo mengine tu lakini asiwe malaya na mwepesi wa kushobokea wanaume wengine. Inakera sana!
 
Ukiona hivyo ujue hajaridhika na wewe au pengine ndo tabia yake kuwapangisha foleni. Nakusihi uachane nae usipoteze muda wako kwa mtu asiekupenda na asiekuwa mwaminifu kwako.
 
Duh hivi mie nn kinanifanya nisijiunge na facebook!hata sielewi,nahisi kila kitu ni fake na mie huwa muwazi sana nahisi hainifai, na hivi ni lazima uwe na marafiki usiowajua? Unaweza wablock watu wanaokusumbua?

nikirudi kwa jamaa nahisi labda ameona humfai anataka kumove on, achana nae huna haja ya kumfatilia ki hivyo endelea na maisha yako
 
Kumbe unatoa taarifa!Bora mimi sijawahi hata kuifungua hiyo facebook,i don't knw anything about facebook!

I hate uso wa kitabu, sipendi hata kuisikia na matadanganyana sana tu huko kwenye facebook yenu
 
Duh hivi mie nn kinanifanya nisijiunge na facebook!hata sielewi,nahisi kila kitu ni fake na mie huwa muwazi sana nahisi hainifai, na hivi ni lazima uwe na marafiki usiowajua? Unaweza wablock watu wanaokusumbua?

nikirudi kwa jamaa nahisi labda ameona humfai anataka kumove on, achana nae huna haja ya kumfatilia ki hivyo endelea na maisha yako
Kweli kabisa haina mpango wala nini
 
Kwa nini uwe na friends 100 halafu watano ndio wa maana tuu? Nani ali add hao friends kama sio wewe mwenyewe? Wa kulaumu hapo sio facebook, bali ni wewe mwenyewe. Wewe ulikuwa una add friends tuu bila hata kungalia wanachoandika humo au ambao walikuwa na interests tofauti na zako. Ukipanda changarawe usitegemee kuvuna mahindi.
EMT, si wanawa add wakitegemea watachati vya maana mwisho wa siku anakuta ni pumba tupu?
 
  • Thanks
Reactions: EMT

Shantel hapo ndipo wanapofanya makosa. Huwezi kum add mtu halafu utegemee mta chat vya maana. Unam add mtu baada ya kuona vitu anavyoandika. Kulingana na interests zako, vitu anavyoandika ndivyo vitakavyokuvutia um add kama friend.

Hata hivyo sio kwa nini mtu aje kulalamika hapa, wakati intention ya Facebook ni ku share photos between friends. By friends, nina maana watu ambao tayari unawajua. Sasa uki add strangers halafu utegemee ku chat nao mambo ya maana then, you will have to blame yourself. Afterall kuna wengine wanaona hawana haja ya ku chat mambo ya maana na rafiki zako Facebook wakati wanakutana vijiweni mara kwa mara.
 
Poa EMT nimekuelewa, sasa mie nataka kujiunga facebook natamani kujua kama nni lazima ni add mtu? siwezi eka tu photo na kusoma post za watu wengine?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Poa EMT nimekuelewa, sasa mie nataka kujiunga facebook natamani kujua kama nni lazima ni add mtu? siwezi eka tu photo na kusoma post za watu wengine?

Sio lazima. Pia hutaweza kusoma posts za watu wengine unless, wenyewe wameamua kufanya posts na comments zao zisomwe na watu wote regardless of whther they are friends or not. According to Facebook, it helps you to connect and share with the people in your life. Cha maana hapo ni "people in your life". Kwa hiyo ukikutana na mtu ambaye ni moja ya "people in your life" then may you can decide to ad them. Who are "people in your life" inatofautiana kwa mtu na mtu.

Lakini pia Facebook huwa kuna discussions nzuri tuu hasa kwenye politics. Tena watu wanasema kwa kutumia majina yao halisi bila kuficha. Kama wewe ni mtu wa woga woga then, then utaishia kusoma tuu michango ya wengine bila kuchangia, which not good, especially if you treat them as "people in your life". Pia wapo wanaotafuta wachumba. Mimi Facebook imenisaidia kukutana na old friends ambao sikutegemea kama nitakutana nao tena maishani mwangu. Kwa hiyo, itategemea what exactly do you want.

Ikishindikana nenda Google Plus. Wameanzisha social network ambayo ni tofauti kidogo na facebook. Wao wana kitu kinaitwa Circles. Unawa group watu kwenye circles, kama relatives, friends, etc. Uzuri wake, ukipost na uki comment kwenye friends, relatives hawataona and vice versa. Kwa hiyo ukiona kama kuna watu ambao ni wazushi unawatengenea circle yao. I like the idea.
 
Duh thanx kwa kunielewesha, sasa na wale wanaopendana kwenye facebook, wanapendana hadharani maana nasikia wengine wanachati mapenzi kabisa, ina maana watu wote wanasoma yaani wale walio wa add?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Kuna mshikaji kapokea kijiti. Je alishakutoa pumzi upepo na Je alikuwa shule au anasoma. Kama shule basi ni ATM kadi katupa na kama mfanyakazi alikuwa amewapanga foleni. Partners wa mitandao wengi ni waongo, any decent girl cannot use social networking to get a partner most of them are matapeli na pia machangudoa wanatumia sana mitandao kujitangaza. Ingia tagged ndio utajua kuwa never trust a person through mitandao. Hawa tulio kua nao mitaani na tunawafahamu ndio wanafaa.
 
Mi nadhani facebook kama facebbook haina tatizo. Tatizo ni watumiaji wa facebook. Kusema kweli huwezi kujifunza chochote ndani ya mtandao huu wa facebook zaidi kama walivyotangulia wakuu wengine ni mapenzi na uuzaji wa sura tu. Kweli unaweza kuwa na watu wengi online huku ukijaribu kuchat nao lakini ukiwapata watano wa kukujibu ni bahati. Au unaweza kupost vitu vya maana lakini kumpata hata mchangiaji mmoja ni bahati. Ila kitu cha msingi ninachokiona mimi ni kwamba tuache lawama. wewe kama unaona facebook huipendi, basi achana nayo maana wapo ambao wanaipenda so tuache kuponda vitu ambavyo si level yetu. Mbona hata kuna wanaoponda JF kwamba haina maana??.. Hivi vitu ni kama hobby ya mtu ambayo hutofautiana kati ya mtu na mtu. Ukiona ya facebook huyawezi, waachie wanaoweza maana utabaki kuumia tu na kuishia kulaumu.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Duh thanx kwa kunielewesha, sasa na wale wanaopendana kwenye facebook, wanapendana hadharani maana nasikia wengine wanachati mapenzi kabisa, ina maana watu wote wanasoma yaani wale walio wa add?

Wanatumiana PM na kucha privately
 
Back
Top Bottom