aluta continyua
Senior Member
- Nov 19, 2016
- 143
- 221
Jaribu kumtoa akilini tu. Focus kwenye kutafuta demu mwingine.. Coz hapo mwisho wa siku atakulea maumivu balaa. Utakuja gundua ana mtu hlf akakutaa hadharani. Utajipa presha bure. We mpotezee huyo tafuta mwingine ili kuepuka kuja kujutia kwa kupotezewa muda na kulizwaHata mm nahic uyu atakuwa ana jamaa anapiga maana nikimchunia kama wiki atakuja kwa bi mkubwa kulalamika kuwq nimemchunia
So nawaza ngono nimeomba ushauri hv unaweza kuwa na uhusiano na mtu mwaka alaf hamjafanya chochote
Wangu linaanzia na R[emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana au demu wako lake linaanzia na A
Kumpotezea nampotezea ila ananifatafata sana alaf kingne amemzoea bi mkubwa mara kwa mara huwa anakuja msalimia tena anakujaga na vizawad vya hapa na paleJaribu kumtoa akilini tu. Focus kwenye kutafuta demu mwingine.. Coz hapo mwisho wa siku atakulea maumivu balaa. Utakuja gundua ana mtu hlf akakutaa hadharani. Utajipa presha bure. We mpotezee huyo tafuta mwingine ili kuepuka kuja kujutia kwa kupotezewa muda na kulizwa
Inawezekana m labda ni malaika u never knowMwaka mzima aisee? Mkuu wewe ni malaika. Wewe unachunwa tu wenzio wanakula
Wang n MWangu linaanzia na R
Ww usitetereke km anajuana na bi mkubwa. Mpotezee tu. Kuwa na misimamoKumpotezea nampotezea ila ananifatafata sana alaf kingne amemzoea bi mkubwa mara kwa mara huwa anakuja msalimia tena anakujaga na vizawad vya hapa na pale
Grid ya taifa inanihusu ni mm mbona unaongea vitu vya hal ya chini sana mkuuGrid ya taifa haina umeme usiku joto kali we bado unawaza ngono
Huwa nampotezea sometimes huruma tu inaniponzaWw usitetereke km anajuana na bi mkubwa. Mpotezee tu. Kuwa na misimamo
Subiri hyo cmu iwe low battery alafu utajua ni kitu ganiGrid ya taifa inanihusu ni mm mbona unaongea vitu vya hal ya chini sana mkuu
We nakaa line ya jeshi umeme haukatigak uku alaf isitishe power bank yang ina store chaji mda mrefuSubiri hyo cmu iwe low battery alafu utajua ni kitu gani
La pili CAnasoma std ngap??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we chiz kwelLabda k inatema anaogopa ukijua utakula alafu utasepa