Nipo gheto kwa demu wangu, nimechelewa kuamka, dingi yake yupo nje nifanyaje?

Nipo gheto kwa demu wangu, nimechelewa kuamka, dingi yake yupo nje nifanyaje?

Holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
8,702
Reaction score
19,607
Wakuu, hali ni mbaya, hapa nilipo nimejikojolea mara mbili. Jana bhana, baada ya pilika pilika nikaona “nikamsaule” demu wangu, nikampanga akanambia hana nafasi ya kukutana na mimi, dingi yake yupo. Nikamwambia kama vipi asubiri walale kisha mimi nije maghetoni kwake, “niichape” nyumbani kwao. Kweli binti mida ya saa tano akanivuta gheto, nikaichapa mpaka saa nane tukalala nikiwa na matumaini kuwa saa 11 nitaamka nisepe.

Bhana ee, ngoma saa moja kasoro hii ndo nimeamka, demu ananiambia dingi yake yupo nje na namsikia kweli anaongea. Nimeweka subira, lakini nimekosa cha kufanya. Nimetoa kojo mara mbili, maana mchana wote watu huwa hawatoki pale kwa mshua kwani huwa wanakuja kunywa kahawa, wengine kupiga story. Inabidi niweke akili sawa na nisubiri tena usiku wa manane nichomoke.

Nawaza kojo nimekojoa sawa, nikihtaji kwenda haja kubwa nitafanya nini? Na je, ikitokea mtu kaingia getoni kwa binti, je? Weka mawazo yote pembeni, lakini bado sijui nifanye nini. Je nichomoke nduki nimwachie msala demu wangu au mpaka midnight? Nawaza nakosa majibu.

Au niendelee tu kumwinamisha na kuupiga mzigo kila demu yangu akija gheto? Nimekamatika. Weka ushauri wenu hapa, maana sijui nitokeje kwenye huu mtego. Msaada wenu wana JF.
 
nimkaribishe ndani wapi wakati mimi ndiye niliyekwama jamaa yangu mshana? Au naomba unitumie zile ndumba zako nijipake nisionekane nitoke nisepe. Nisaidie mkuu,wewe ndiye "mganga mkuu wa jf"
Imeisha iyo
67f6ae3d-8df2-427a-a772-44daa6ada6bc.jpeg
 
Demu wako ana geto kwenye nyumba ya babaake au babaake asubuhi kaja kwenye geto la mwanae?
iko hivi baba yake ana nyumba yenye vyumba sita, iliyozungushiwa uzio wa matofari na geti kubwa mlangoni,pembeni ya nyumba hiyo ndani ya uzio huo huo,kumejengwa kinyumba kingine ambacho kina milango mitatu, mlango wa kwanza choo na bafu,wa pili stoo na jiko wa tatu ndicho chumba ambacho 'demu' wangu anakitumia kama geto. Sasa ndio nimo humu nimekwama.
 
Toka hapo kwa shemej, ww na yule punga bwabwa kishet papai kizbo Stability mnahali ngumu za kimaisha
mkuu, unaweza ukawa unadhani unaandika coment ambayo itawafurahisha members pasipo kujua unaenda kujiingiza katisha shida na mateso binafsi. Id hizi feki zisikufanye ukajiamini kupita kiasi nakuonya tena kwa mara ya mwisho. ONYO: JF ni jukwaa la GT jikite kujibu hoja kadri ilivyokuja,usijibu pumba kama mada haikuhusu uwe unapita kimya kimya,kutukana,kumkejeli,USIANDIKE UZUSHI kwa mtu usiemjua ni kujitakia matatizo binafsi. kuwa makini kijana. Usione kuwa tunaandika mada za kitoto nawe ukaingilika. Utakwenda na maji. NIMEMALIZA
 
Wakuu,hali ni mbaya,hapa nilipo nimejikojolea mara mbili,jana bhana baada ya pilika pilika nikaona 'nikamsaule' demu wangu,nikampanga akanambia hana nafasi ya kukutana na mimi dingi yake yupo,nikamwambia kama vipi asubiri walale kisha mimi nije maghetoni kwake 'niichape" nyumbani kwao. Kweli binti mida ya saa tano akanivuta gheto,nikaichapa mpaka saa nane tukalala nikiwa na matumaini kuwa saa 11 nitaamka nisepe,bhana ee ngoma saa moja kasoro hii ndo nimeamka,demu ananiambia dingi yake yupo nje na namsikia kweli anaongea. Nimetoa kojo mara mbili,maana mchana wote watu huwa hawatoki pale kwa mshua kwani huwa wanakuja kunywa kahawa,wengine kupiga story. Inabidi nisubiri tena usiku wa manane nichomoke. Nawaza kojo nimekojoa sawa nikihtaji kwenda haja kubwa nitafanya nini,na je ikitokea mtu kaingia getoni kwa binti je? Je nichomoke nduki nimwachie msala demu wangu au mpaka mid night? Nawaza nakosa majibu. Au niendelee tu kumwinamisha na kuupiga mzigo kila demu yangu akija gheto? Nimekamatika. Msaada wenu wana jf.
Vaa nguo zake utoke mdogomdogo utazivua mbele ya safari, weka manguo nyuma ila siyo mengi usijeleta taharuki wanywa kahawa wakakufukuzia wakiona tako ni kubwa kumbe msela mwenzao umejaza manguo tu.Pia kama utatoka hivyohivyo usitoke unakimbia watakuungia wakizani ni mwizi.
 
Hilo lilishanikuta mwaka 2019. Nimeenda vizur nkachapa kitu hadi asubuh. Si mdingi mtu akawahi kuamka akakaa hapo nje kuota jua. Ilibidi kuna jamaa yangu fundi umeme ndio alicheza game nikatoka. Yaani niliharibu bulb zile ndefu za futi mbili nikatoa kadude flani hivi kanaitwa starter(hapa mafundi wanajua) switch nikafungua na kisu nkachomoa waya afu nkagusanisha hizo nyaya umeme nyumba nzima ikazima. Mda huo nimeongea na jamaa acheze karibu na mkoba wake. Umeme kuzma mzee akaingia ndani kuangalia ikabid bahati hakuja kwa dem sa wakaitaji fundi demu akasema ngoja aite fundi na mda huo mzee karud chumban ila demu yupo mlangon kwa mzee wakiongea ndo jamaa akafika eti ameitwa na demu akaja kutengeneza umeme ndo after kumaliza tukatoka na yeye fundi mim mtu wa mkono. Tangu hyo siku mechi hatukuwahi kuchezea uwanja wa kwao ni kwangu au tukodi uwanja. Nilivotoka mzee anauliza na wewe uliingia saa ngapi jama akasema alintuma mim mapema nije niangalie na dem akasema niliingia mda mzee ameingia ndani. LAKINI?!@?!
 
Vaa nguo zake utoke mdogomdogo utazivua mbele ya safari, weka manguo nyuma ila siyo mengi usijeleta taharuki wanywa kahawa wakakufukuzia wakiona tako ni kubwa kumbe msela mwenzao umejaza manguo tu.Pia kama utatoka hivyohivyo usitoke unakimbia watakuungia wakizani ni mwizi.
sasa wakiniita niwafatie kitu?
 
sasa wakiniita niwafatie kitu?
Hapo unavaa si kuendelea kukaa humo, Unajivisha ili usepe. Wakikuita unajitia husikii tu. Na kma kuna sehemu inakona kali basi ndo sehem nzuri kuikimbilia. Toka na demu wako ili incase wanaita aende yeye huku wewe ukiendelea kusonga mbele na pia jitahidi sana kutembea kama demu kweli. Uwe unatingisha tako mkuu, usijikaze sana utashtukiwa. Vaa kama wanawake wa kobazi ili kuficha sura yako isionekane vzuri.
 
mkuu, unaweza ukawa unadhani unaandika coment ambayo itawafurahisha members pasipo kujua unaenda kujiingiza katisha shida na mateso binafsi. Id hizi feki zisikufanye ukajiamini kupita kiasi nakuonya tena kwa mara ya mwisho. ONYO: JF ni jukwaa la GT jikite kujibu hoja kadri ilivyokuja,usijibu pumba kama mada haikuhusu uwe unapita kimya kimya,kutukana,kumkejeli,USIANDIKE UZUSHI kwa mtu usiemjua ni kujitakia matatizo binafsi. kuwa makini kijana. Usione kuwa tunaandika mada za kitoto nawe ukaingilika. Utakwenda na maji. NIMEMALIZA
Kawatishe watoto wa shemej yako hapo sebulen ukimaliza kudek
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom