Demu huyu anapenda kupiga mwiba!

Nimetokea kumpenda binti mmoja mrembo sana. Tatizo lake anapenda sana kunipiga pini (kuniomba pesa) kiasi kwamba ninapopanga kukutana nae analazimisha nimpelekee heala au kitu na kama sikupeleka ananinunia. Juzi kaja na bonge la request anataka mtaji afungue biashara! Nashindwa kumuelewa vema huyu mwenzangu maana wote tumeajiriwa lakini yeye anataka kula vyangu tu! Nishaurini wadau, mimi sioni future na demu wa hivi!

Huyu hafai, huna future naye... Mtose kuna mademu wengi wazuri watakaokupenda for who you are.... achana na watu wanaojijali pekee
 
ha ha haaaaa, nyamayao umenikumbusha siku moja hivi karibuni nilikutana na baba mmoja njiani, akaanza yani from no where tunatembea kuelekea direction moja, 'mimi naitwa ....., nafanya kazi sehemu ...., ninaishi mbezi, nina nyumba ingine rtabata, sijui gari nimeacha wapi, nina investment ...., yani akajielezqaa bila maswali as if yuko kwenye usaili ameulizwa 'tell us about youself', sasa mi ikabidi nianze kucheka, maana sikuamini huyu ni mtu mwenye mke na watoto anatongoza hivi. nikamwambia tu asante kwa maelezo, i am not interested.

nimecheka hadi machozi, haaa jamani.
 
huyo mdada kimeo kama simu ya mchina ..muulize kama anatafuta mtaji duuu ili umpatie
mbona kuna watu hawana aibu jamani ?? labda na wewe ulijitambulisha kama billgates
tutajuaje ?

Fl1 nakuunga mkono inawezekana jamaa alijitangaza kwamba yeye ni biligate.
 
hahahaha
ahahaha
ahahahaha
auahahahahahahahahahahahahahaha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

KAZI IPO!
wenzio tulisaacahanza na watu wa mkoa huo maana huwa ni shida kweli
 
mie nahic haya mambo ya kuomba omba yanasababishwa na mwanaume anavyoku approach cku ya kwanza, wengine ndio wale wale hadithi ndefu warembo wakianza kufanya vitendo mnalalama tena, pole mfungulie mini sup...lol

Ni kweli kabisa Nyamayao unayosema,kuna uwezekano mkubwa sana kuwa huyu jamaa aliingia na advertise fulani hivi,maana siamini kama huyo dada alianza tu kusema ooo nifungulie sijui biashara,halafu kingine pia inaonekana jamaa alimzoesha mdada zawadi sasa siku zinaenda mdada anaona hapati tena zile zawadi.

Mtoa mada hebu tueleze hukuingia na gia za ooo mimi nafanya kazi TRA,pesa kwangu si tatizo,hebu tueleze vizuri.
 
eeeh,hata kama hujui kusoma picha huoni mkuu? chapa mwendo hapo si penyewe
 
Nimetokea kumpenda binti mmoja mrembo sana. Tatizo lake anapenda sana kunipiga pini (kuniomba pesa) kiasi kwamba ninapopanga kukutana nae analazimisha nimpelekee heala au kitu na kama sikupeleka ananinunia. Juzi kaja na bonge la request anataka mtaji afungue biashara! Nashindwa kumuelewa vema huyu mwenzangu maana wote tumeajiriwa lakini yeye anataka kula vyangu tu! Nishaurini wadau, mimi sioni future na demu wa hivi!

Asili (kabila) lake ni lipi na mlikutana katika mazingira gani kwa mara ya kwanza
 
JAMAAAAANIIIIIII Eheeeeee! mie nasema hivi kwenye Sheria kuna kitu kinaitwa "Rule of Natural Justice" ni haki ya kila mtu kupewa uhuru wa kusikilizwa au kuna msema unaitwa kwa kilatini "Nemo judast in cause sua" huwezi kumuhukumu Mtu bila kumpa nafasi ya kumsikiliza. Sasa wewe umetueleza kuhusu huyo Bibie wako, lakini yeye hatujampa nafasi ya Kumsikiliza LEO UANATAKA TUHUKUMU kwamba yeye anamakosa na wengine wamefikia kusema eti amekaa kibiashara "Business Oriented" Lakini mimi nasema, inawezekana hata wewe ni mwenye makosa. tumia kanuni ya "if X if the father of YZ then the Y is the relative of X and Z"

Kama yeye ni "Business Oriented" nadhani hata wewe pengine ni "SEX ORIENTED" ukikutana naye wewe unataka ku "DO!!!!" hakuna mazungumzo wala nini. Kwa maana hiyo amekusoma wewe lengo lako umependa kula tunda lake, therefore you have 2 Pay for that ACHA KULALA Mtoto wa Kiume. Kaa chini pengine wewe ndiyo tatizo na hivyo ameona akuombe fedha za Biashara ili kesho na kesho kutwa Dodo zake zikianguka ukimkibia aweze kuendeleza maisha yake.
 
Nimetokea kumpenda binti mmoja mrembo sana. Tatizo lake anapenda sana kunipiga pini (kuniomba pesa) kiasi kwamba ninapopanga kukutana nae analazimisha nimpelekee heala au kitu na kama sikupeleka ananinunia. Juzi kaja na bonge la request anataka mtaji afungue biashara! Nashindwa kumuelewa vema huyu mwenzangu maana wote tumeajiriwa lakini yeye anataka kula vyangu tu! Nishaurini wadau, mimi sioni future na demu wa hivi!

hahaaaa .huyo ni kabila gani
 
Ni kweli kabisa Nyamayao unayosema,kuna uwezekano mkubwa sana kuwa huyu jamaa aliingia na advertise fulani hivi,maana siamini kama huyo dada alianza tu kusema ooo nifungulie sijui biashara,halafu kingine pia inaonekana jamaa alimzoesha mdada zawadi sasa siku zinaenda mdada anaona hapati tena zile zawadi.

Mtoa mada hebu tueleze hukuingia na gia za ooo mimi nafanya kazi TRA,pesa kwangu si tatizo,hebu tueleze vizuri.

Unajua siyo kwamba aliingia na MATANGANZO AU USIKOKO bali jamaa yeye anataka kula TUNDA kila wanapokutana. Pengine DEMU kaishtukia KAMCHEZO ka ki- Ufisadi ka jamaa kwenye mwili wake sasa Demu anatangaza IPTL ukitaka UMEME nunua mafuta eeeeeeeehhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!, kila raha na karaha zake. MWAMBIENI JAMAAA MTAKA CHA UVUNGUNI!!!!!!!!!!!!!
 
unajua kuna 'terms and conditions' kwenye kila kitu.ni wewe tu kuangalia zipi zinafit nawe!kwa huyo dada ndo hizo either unakubaliana nazo au unakula kona!
 
Eeh jamani, wala sijafanya advertise yoyote. Huyu mdada tumefahamiana kwa muda kabla hatujaanza uhusiano. Alifahamu vema nafanya kazi wapi kazi kabla ya relationship. In fact ofisi zetu ziko jirani.
 
Unajua siyo kwamba aliingia na MATANGANZO AU USIKOKO bali jamaa yeye anataka kula TUNDA kila wanapokutana. Pengine DEMU kaishtukia KAMCHEZO ka ki- Ufisadi ka jamaa kwenye mwili wake sasa Demu anatangaza IPTL ukitaka UMEME nunua mafuta eeeeeeeehhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!, kila raha na karaha zake. MWAMBIENI JAMAAA MTAKA CHA UVUNGUNI!!!!!!!!!!!!!

Mambo ya kula tunda yana mahala pake kwa raha zake. Hiyo issue ya kwamba kila tukikutana lazime tuvunje amri mojawapo ktk amri kumi sio kweli. Sometimes ni story, drinks etc. Issue ni kwamba kila tukipanga rendevu nitaulizwa "unaniletea nini?" Jana nimemuuliza "wewe umeniandalia nini" kamaind.
 
jinsia gani huyu aliyemaindi?
 
Off point_mama mdogo unatokea Ghana au Nigeria??naona picha yako imenifanya niulize ahahahaha

Taratibu mdogo wangu First Lady1, mimi nimetoa ushauri tu ni kazi ya muomba ushauri kuupokea au kuukataa. Kuniambia off point wewe ni kama kwamba wamsemea mtoa hoja, any way nikiwa ni adult naishia hapo mdogo wangu First Lady1. Mdogo wangu, mimi natokea Heru Juu, Kasulu, Kibondo, Mmanyema 100 %.
 
lemba na tenge limekutoa bimkubwa, heshma mbele. ngoja niende kwenye kibatani cha senki yuu kwa ajili la lemba only.
 
Aah bwana! Chake nimekula nini jamani? Kama uroda kila mtu anastarehe, ikija pesa na vitu vingine mbona menzangu hachangamki? Kwanza bao ninazompiga mwenyewe amenikubali, anasema alikuwa hajawahi kuona! Sijui ndo ananidanganya anichune vizuri?

Ndivyo wanavyosemaga wakiwa wanachuna buzi lao, wengine wakati bado hata haijagusa kunani wameshaanza kugugumia! wizi mtupu!
 
:rolleyes: dogo kutoa pesa pia ni part ya mapenzi huwezi kutoa pesa kama hakuna penzi....Afu huyo demu mimi naona haki yake c unajua machine lazima itunzwe kwa service kama hizo....:cool:
 
Eeh jamani, wala sijafanya advertise yoyote. Huyu mdada tumefahamiana kwa muda kabla hatujaanza uhusiano. Alifahamu vema nafanya kazi wapi kazi kabla ya relationship. In fact ofisi zetu ziko jirani.
kama wakati wa process ya kujuana, mpaka kujuana hakuwahi kutaka mihela, basi huyo ni kicheche tu!!! Hoyo inaitwa transuctional sex!!! chapa lapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom