Demu huyu anapenda kupiga mwiba!

Nimetokea kumpenda binti mmoja mrembo sana. Tatizo lake anapenda sana kunipiga pini (kuniomba pesa) kiasi kwamba ninapopanga kukutana nae analazimisha nimpelekee heala au kitu na kama sikupeleka ananinunia. Juzi kaja na bonge la request anataka mtaji afungue biashara! Nashindwa kumuelewa vema huyu mwenzangu maana wote tumeajiriwa lakini yeye anataka kula vyangu tu! Nishaurini wadau, mimi sioni future na demu wa hivi!

Hayatuhusu. this is your private business.
 
So sad when we let material gains come in the way of our happiness.
 
Kutoa ni moyo kaka! Te he te he usiwaze sana Sikuzote Cha Mwali Kinaliwa Cha Kungwi Hakiliwi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom