Shamkware
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 1,756
- 2,309
Nina nina Rafiki yangu ambae tuna shere Story nyingi na kuishi kama ndugu!
Amekuwa akinieleza jambo hili Mara kwa mara Yeye amepata Kigoli Mpya baada ya kupigwa kibuti na Demu wake wa awali,
Lakini tatizo la huyo Kigoli mpya Anasema wakiwa faragha Kwenye MGEGEDO kigoli Huyo yeye anachatI na simu tu Wala hana Habari za kukata Mauno kabisaa!?
Sasa nimeshindwa kumshauri Mimi nilitka kumwambia pengine hana maujanja ya kumsisimua huyo kigoli nikaona hapana ngoja Niulize Kwa Wana Jf,
Hili ni tatizo gani Jamani?
Naomba kuwasilisha hoja.