Demu akikupenda

Demu akikupenda

Kwa wale wanaaopata baati
ya kufutwa au kupendwa na mademu ni raha sana akikupenda anakupenda hasa
bola hata anywe sumu mmmh kuliko wewe umpende yeye hii ni kweli
kubwa

This is more than trash
 
Nilikuuliza umri wako na unaposoma! inawezekana tunapasua kichwa kumbe wewe ni kavulana tu,isitoshe bado hata hujabalehe..na hicho chuo si ajabu ni vile vya kariakoo!!.lakini kama kweli kichwani zimetimia na unajielewa halafu unaandika haya,dah basi humu jf tufunge macho tuombe maana yawezekana unategemewa kwenu na taifa pia.
 
Tatizo la lugha ni kubwa sana nchini,BAKITA wafanye wawezavyo waokoe hiki kizazi cha shule za kata.
 
Back
Top Bottom