Demokrasia ya CHADEMA ni double standards tumeona Bunda leo

Teamubwabwa

Senior Member
Joined
Jul 7, 2015
Posts
172
Reaction score
59
Akitokea kiongozi wa chini kuwasiliana na kiongozi wa CCM anakuwa msaliti hata kama ni kusalimiana. Lakini tumeona Mbowe amewasiliana na LOWASA mpaka ametoka CCM akahamia CHADEMA huyo hajawa msaliti bali ni shujaa. Tumeona jinsi standards hizo zilivyotumika kwa Zito Kabwe na Mwigamba walivyoeelezwa kuwa ni vibaraka na wasaliti na leo imetokea Bunda kwa uongozi wa wilaya wa CHADEMA.Nina

hofu na hiki Chama kuwa ni chama cha mtu fulani tena muhuni tu ingawa ameziteka fikra za watu wengi kwa kuwaaminisha kuwa watawakomboa kutoka katika shida zao.

My take: JF kwa wale mliolelewa na kukuzwa kwa matusi njooni mtukane kwani tunawafahamu ndio kula yenu ila ukweli ndo huo.
 
mbona we kwenye kula za lumumba mmefanya nn tena kwa nchi nzima cdm kwa majimbo mawili matatu ndo mnaongea uliza kwenye jimbo la domo kaya Nape kimetokea kitu gani!!
 
huyo mteule alishapewa na jamaa wa magamba ili Mzee Wa gombe apite bila kupingwa.alipewa mlungula ili achelewe kurudisha fomu.kitengo kikamnasa.nyie endeleeni kudanganywa.mmedanganywa miaka hamsini mpaka hata kwenye huu utandawazi mnadanganyika!!poleni na nendeno nae mnakoenda
 
watu wote wenye akili timamu wanajua CHAGADEMA hakuna demokrasia wala itikadi. wao wako tayari kukubali chochote chenye maslahi kwao hata kama kina hasara kwa taifa. japo CCM imeyumba (baba riz and friends wamechangia pakubwa) ila ni chama chenye msingi imara na uwezo kujitakasa.
 
Akitokea kiongozi wa chini kuwasiliana na kiongozi wa CCM anakuwa msaliti hata kama ni kusalimiana. Lakini tumeona Mbowe amewasiliana na LOWASA mpaka ametoka CCM akahamia CHADEMA huyo hajawa msaliti bali ni shujaa. Tumeona jinsi standards hizo zilivyotumika kwa Zito Kabwe na Mwigamba walivyoeelezwa kuwa ni vibaraka na wasaliti na leo imetokea Bunda kwa uongozi wa wilaya wa CHADEMA.Nina

hofu na hiki Chama kuwa ni chama cha mtu fulani tena muhuni tu ingawa ameziteka fikra za watu wengi kwa kuwaaminisha kuwa watawakomboa kutoka katika shida zao.

My take: JF kwa wale mliolelewa na kukuzwa kwa matusi njooni mtukane kwani tunawafahamu ndio kula yenu ila ukweli ndo huo.

Bwabwa? = shoga!khe kaazi unayo huko nyuma haukua hivi nini kinalusibu
 
Akitokea kiongozi wa chini kuwasiliana na kiongozi wa CCM anakuwa msaliti hata kama ni kusalimiana. Lakini tumeona Mbowe amewasiliana na LOWASA mpaka ametoka CCM akahamia CHADEMA huyo hajawa msaliti bali ni shujaa. Tumeona jinsi standards hizo zilivyotumika kwa Zito Kabwe na Mwigamba walivyoeelezwa kuwa ni vibaraka na wasaliti na leo imetokea Bunda kwa uongozi wa wilaya wa CHADEMA.Nina

hofu na hiki Chama kuwa ni chama cha mtu fulani tena muhuni tu ingawa ameziteka fikra za watu wengi kwa kuwaaminisha kuwa watawakomboa kutoka katika shida zao.

My take: JF kwa wale mliolelewa na kukuzwa kwa matusi njooni mtukane kwani tunawafahamu ndio kula yenu ila ukweli ndo huo.

kaka/dada mimi ni mwenyeji wa bunda ninachoandika hapa na kile ulichoandika ni kama vile haujui unasema chama cha chadema ni cha wahuni walioteka fikra za watu,lakin unasahau kwamba kuna chama cha majambazi sasa jambaz na muhun nani mbaya alafu chadema waligundua mbinu chafu za kutaka kuwanunua viongoz wa chadema ili yule mtu mwenye uraia wa sehemu mbili apite bila kupingwa mbinu hizo zimevuja na hao jamaa washapigwa chi mapambano yanaendelea kama wewe kweli unaitakia nchii meme tizama mchezo uliofanyika kule busega uone kama ni sawa?alafu ndo ulete story zako za kishoga kudadaddeki
 
Mfa maji haachi kutapatapa,mwaka u imekula kwenu,magoli yenu ya mkono mtapigia bafu za lumumba mwaka u
 
Teamubwabwa=Teamshoga jina lako linaakisi mawazo na matendo yako
 
Ulitaka lile zee la kuuchapa usingizi lipite bila kupingwa? Wassira ni mshenzi na tapeli!
 
Akitokea kiongozi wa chini kuwasiliana na kiongozi wa CCM anakuwa msaliti hata kama ni kusalimiana. Lakini tumeona Mbowe amewasiliana na LOWASA mpaka ametoka CCM akahamia CHADEMA huyo hajawa msaliti bali ni shujaa. Tumeona jinsi standards hizo zilivyotumika kwa Zito Kabwe na Mwigamba walivyoeelezwa kuwa ni vibaraka na wasaliti na leo imetokea Bunda kwa uongozi wa wilaya wa CHADEMA.Nina

hofu na hiki Chama kuwa ni chama cha mtu fulani tena muhuni tu ingawa ameziteka fikra za watu wengi kwa kuwaaminisha kuwa watawakomboa kutoka katika shida zao.

My take: JF kwa wale mliolelewa na kukuzwa kwa matusi njooni mtukane kwani tunawafahamu ndio kula yenu ila ukweli ndo huo.

nyakimogoro
 
chadema -chaga development manifesto? I am not so sure
 
Angekuwa mpinzani kweli asingetoka CDM na kwenda CCM!!
 
Back
Top Bottom