Demokrasia ya CHADEMA ni double standards tumeona Bunda leo

Demokrasia ya CHADEMA ni double standards tumeona Bunda leo

Akitokea kiongozi wa chini kuwasiliana na kiongozi wa CCM anakuwa msaliti hata kama ni kusalimiana. Lakini tumeona Mbowe amewasiliana na LOWASA mpaka ametoka CCM akahamia CHADEMA huyo hajawa msaliti bali ni shujaa. Tumeona jinsi standards hizo zilivyotumika kwa Zito Kabwe na Mwigamba walivyoeelezwa kuwa ni vibaraka na wasaliti na leo imetokea Bunda kwa uongozi wa wilaya wa CHADEMA.Nina

hofu na hiki Chama kuwa ni chama cha mtu fulani tena muhuni tu ingawa ameziteka fikra za watu wengi kwa kuwaaminisha kuwa watawakomboa kutoka katika shida zao.

My take: JF kwa wale mliolelewa na kukuzwa kwa matusi njooni mtukane kwani tunawafahamu ndio kula yenu ila ukweli ndo huo.

Wewe unayekariri kula yako ndiyo hii? Huu mfano wako hauna mashiko na hakuna ukweli hapa Kama ni migogoro ya Uchujaji ipo CCM kwani Mbona hata Nape kule Mtama aliiba kura na akakamatwa na rushwa Lakini mkamtetea kwa kuwatuma maboss wa takukuru toka makao makuu na licha ya shutuma zote jina lake limerejeshwa, wasira alipiga watu hata spika job ndungai huku Mwigulu naye akituhumiwa kutoa rushwa Lakini wote wamebebwa, kwenye michakato hii changamoto lazima ziwepo.
 
kwani nimekutaja minyoo mbona povuuu
 
Last edited by a moderator:
huyo mteule alishapewa na jamaa wa magamba ili Mzee Wa gombe apite bila kupingwa.alipewa mlungula ili achelewe kurudisha fomu.kitengo kikamnasa.nyie endeleeni kudanganywa.mmedanganywa miaka hamsini mpaka hata kwenye huu utandawazi mnadanganyika!!poleni na nendeno nae mnakoenda

Bora kudanganywa miaka hamsini inawezekana akili ikawa inasahau, Je nyinyi mliodanganywa kwa dakika moja tu, mtu jana yake aliitwa fisadi kesho tu yaani keesho tu, mnaambiwa ni mzalendo na mtetezi wa wanyonge eti tatizo ni "mfumo" na nyumbu praaaaaa! Mnakanyagana kumfuata msemaji yule yule kwa dakika moja ! Kabadili uelekeo wa nyumbu wake wote! Sasa nani kiboko kwa kudanganya!
Zamani ukivaa gwanda uliitwa kamanda siku hizi ukivaa gwanda unaitwa FISADI!
 
Mleta uzi kwani umelazimishwa kubaki Chadema? Nenda kwa wasaliti wenzako ACT au kwa bwana yako CCM
 
inaitwa nguvu ya pesa.

Akitokea kiongozi wa chini kuwasiliana na kiongozi wa CCM anakuwa msaliti hata kama ni kusalimiana. Lakini tumeona Mbowe amewasiliana na LOWASA mpaka ametoka CCM akahamia CHADEMA huyo hajawa msaliti bali ni shujaa. Tumeona jinsi standards hizo zilivyotumika kwa Zito Kabwe na Mwigamba walivyoeelezwa kuwa ni vibaraka na wasaliti na leo imetokea Bunda kwa uongozi wa wilaya wa CHADEMA.Nina

hofu na hiki Chama kuwa ni chama cha mtu fulani tena muhuni tu ingawa ameziteka fikra za watu wengi kwa kuwaaminisha kuwa watawakomboa kutoka katika shida zao.

My take: JF kwa wale mliolelewa na kukuzwa kwa matusi njooni mtukane kwani tunawafahamu ndio kula yenu ila ukweli ndo huo.
 
Akitokea kiongozi wa chini kuwasiliana na kiongozi wa CCM anakuwa msaliti hata kama ni kusalimiana. Lakini tumeona Mbowe amewasiliana na LOWASA mpaka ametoka CCM akahamia CHADEMA huyo hajawa msaliti bali ni shujaa. Tumeona jinsi standards hizo zilivyotumika kwa Zito Kabwe na Mwigamba walivyoeelezwa kuwa ni vibaraka na wasaliti na leo imetokea Bunda kwa uongozi wa wilaya wa CHADEMA.Nina

hofu na hiki Chama kuwa ni chama cha mtu fulani tena muhuni tu ingawa ameziteka fikra za watu wengi kwa kuwaaminisha kuwa watawakomboa kutoka katika shida zao.

My take: JF kwa wale mliolelewa na kukuzwa kwa matusi njooni mtukane kwani tunawafahamu ndio kula yenu ila ukweli ndo huo.

Mkuu umeandika kweli tupu hapa na sio uongo. Hawa viongozi wa CHADEMA ni wanafiki sana tena sana. Wewe usiogope matusi ya hawa wanywa viroba wa CHADEMA, katika mapambano askari hapaswi kuogopa risasi na sisi pia hatupaswi kuogopa matusi, tutawaambia ukweli wao. Wacha watukane lakini ukweli wameupata. CHADEMA ni wanafiki!
 
well said! nadhani hawajakomaa kidemokrasia hata wangwe aliitwa msaliti alipohoji kiti kikuu
 
watu wote wenye akili timamu wanajua CHAGADEMA hakuna demokrasia wala itikadi. wao wako tayari kukubali chochote chenye maslahi kwao hata kama kina hasara kwa taifa. japo CCM imeyumba (baba riz and friends wamechangia pakubwa) ila ni chama chenye msingi imara na uwezo kujitakasa.
Kula like kaka. Ukawa hawana standard wanazozifuata ni flameable kama petroleum product
 
Mie naamini CHADEMA wanajua kusoma alama za nyakati na kumuweka yule ambaye hawezi kuuza ushindi na anajielewa na mwenye msimamo wake. Ni ukweli usiopingika kuwa 2010 TYSON alimnunua mgombea wa CHADEMA kwakuwa alikuwa hajielewi. Mimi ni mfuasi wa CCM na Mara ndo kwetu lakin I salute CHADEMA for their intelligence na wanajua sana kusoma alama za nyakati. Esther Bulaya anajielewa na anajua anachotaka kwenda kufanya Bungeni kwa ajili ya wana Bunda mjini hivo hatouza ushindi yule.
 
Back
Top Bottom