Kujadili ujinga wa huyu bwana ni kupoteza muda!
Naamu hata ungetoa mapovu mekundu kama damu siondoki hapa, ila fahamu kuwa huna hoja ya maana uliyoiweka hapa kwa ajili ya mjadala wenye afya. Narudia tena, unatupotezea muda na huu ujinga wako!JF kuna members zaidi 70.000 na wageni wengi tu wanapita humu JF kwa hiyo wewe unaweza kuondoka tu kwenye hii thread...JF sio mali ya Chadema ni jukwaa huru.
Sasa mkuu hukuelewa nn kile ambacho CDM tumehaidi kwa wananchi?
Be a guy.
Tunaona kupitia vyombo vya habari mikutano ya Chadema akisimama Mbowe anasema hakuna kulala mpaka kieleweke, akisimama Slaa nae utasikia nchi imefilisika, akisimama Lema nae utasikia Mapinduzi yanaendelea wao wana pesa sie tuna mungu..hakuna kiongozi ambaye ataelezea mipango gani ya maendeleo watawafanyia Watanzania
Ni hivi Mpaka kieleweke maana yaakem, CCM itoke madarakani kwanza ndo maendeleo maana CCm si tu hawaleti maendeleo ila pia nim kikwazo cha maendeleo.Wanabodi.
Pamoja na CHADEMA kufanya ziara katika baadhi ya mikoa ya Tanzania na kutangaza kauli mbiu ya M4C Watanzania wanahoji kwa nini CHADEMA hawasemi wana mipango gani yenye tija kwa taifa letu na watawakomboa vipi kama wanavyojinadi kuwa wao ni wakombozi?
Moja ya kauli ya viongozi wa CHADEMA ni ile hakuna kulala mpaka kieleweke pamoja na ile tunataka kuwakomboa Watanzania, hawaelezi mambo yanayohusu maendeleo ya taifa lao.
Watanzania wanataka CHADEMA wangekuwa wanawaeleza Watanzania ni kipi watafanya wao ambacho CCM kimeshidwa kuwafanyia, waseme ni barabara zipi ambazo watazijenga na waeleze vyanzo Vya fedha watakazotumia kujenga barabara hizo.
Kwenye mikutano ya CHADEMA huwezi kusikia wanaelezea Watanzania kuwa watawajengea hospital au watafanyaje katika kuboresha elimu hiki ndio kipindi cha kuwafafanulia Watanzania juu ya utekelezaji wa sera yao waliyosema wakati wa kampeni 2010 kuwa CHADEMA watatoa elimu bure chekechea hadi chuo kikuu kwa fedha kutoka wapi na kwa uchumi upi wa nchi.
Wananchi wanasema wanaofika kwenye mikutano ya CHADEMA wanachokisikia kutoka kwa viongozi wa CHADEMAa kauli mbiu zao 'Mpaka kielekewe hakuna kulala' 'Ukombozi unakaribia' Wao wana pesa siye tu Mungu'
Nchi haiwezi kuongozwa mithiri ya kampuni ya biashara au familia ya watu wa damu moja.
Wewe mtu wa ajabu sana.
Umewahi kusoma manifesto ya Chadema?
Umewahi kuwasikia viongozi wa Chadema wakizungumzia vision yao ya Tanzania? Kwa kuanza tu, uwekezaji utawalenga zaidi
Watanzania badala ya sera za Kikwete za kuwaleta wageni eti Watanzania anaowaita "watu wa pembezoni" nao watanufaika. Kwa Chadema Watanzania hawatakuwa watu wa pembezoni.
Chadema itapangua mikataba mibovu ya madini ili akina Sinclair wasiendelee kutuibia madini yetu na kuwafaidisha wachache kukiwa pamoja na familia ya Kikwete ambayo wanae wanaishi kimjinimjini.
Chadema imeshasema kuwa serikali yake itakuwa na baraza dogo la mawaziri jambo litakalopunguza matumizi yaliyokithiri katika serikali ya Kikwete. Sasa wewe unataka wakuambie watajenga barabara gani na hizo hela zitatoka wapi? Kwani Kikwete kazitoa wapi?CCM imeshindwa kuwaletea Watanzania wote maisha bora. CHADEMA itaweza kwa kupangua priorities zilizopotoka za CCM.
Mawaziri na Manaibu Mawaziri Vivuli |
| Waziri Mkuu na TAMISEMI Freeman Aikaeli Mbowe Kiongozi wa Upinzani Bungeni | Silinde David Ernest TAMISEMI |
| Sera, Uratibu na Bunge Raya Ibahim Khamis | Vicent Kiboko Nyerere Elimu |
| Uwekezaji na Uwezeshaji Esther N. Matiko | |
| Utawala Bora Said Amour Arfi | |
| Mahusiano na Uratibu Rev. Israel Y. Natse | |
| Menejimenti ya Utumishi wa Umma Suzan A. Lyimo | |
| Muungano Pauline P. Gekul | |
| Mazingira Grace S. Kiwelu | |
| Kabwe Zuberi Zitto Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni | Christina Lissu Mughwai |
| Godbless Lema | |
| Tundu Lissu Mnadhimu Mkuu wa Upinzani | |
| Ezekia D. Wenje | |
| Joseph Selasini | |
| Silvester M. Kasulumbayi | |
| Prof. Kulikoyela Kahigi | |
| Halima James Mdee | |
| Rev. Peter Msigwa | |
| John John Mnyika | |
| Eng. Salvatory Machemuli | |
| Mhonga Saidi Ruhwanya | |
| Lucy F. Owenya | |
| Christowaja Mtinda | |
| Dr. Mbasa Gervas | |
| Regia Mtema | |
| Naomi A. Kaihula | |
| Joseph O. Mbilinyi | |
| Mustapha Akunaay | |
| Opulukwa Meshack | |
| Highness S. Kiwia | |
Ni hivi Mpaka kieleweke maana yaakem, CCM itoke madarakani kwanza ndo maendeleo maana CCm si tu hawaleti maendeleo ila pia nim kikwazo cha maendeleo.
Ni kama unachotea maji kwenye ndoo iliyo toboka ili upate maji ziba ndoo kwanza then nenda mtoni kuchota maji lasivo unapoteza muda.Sasa CCm utaitoaje ni kwa kura za kuikataa, zina patikanaje? kwa kuwaelimishawapiga kura juu ya umuhimu wa kuziba ndoo kuzuia upotevu wa maji ili wainyime CCm kura ambayo ni kizuizi cha maendeleo kwa kukumbatia mfumo wa wawekezaji matapeli na waizi wa mali za umma na usimamizi ovyo wa mali za taifa pamoja na ukosefu wa ubunifu kwa kuendekeza njia za mwaka orobaini na saba za kutatua matatizo.
Fedha watatoa wapi? Unaona? ndo maaana CCm haiwezi kuleta tija hujui pesa zinatoka wapi? CDM wanataka wakamate madaraka wasimamie vizuri na kwa uzalendo mali za taifa; madini; bahari; mito; misitu; kiliomo;watalii; uwindaji; bandari;rasilimali watu; utamaduni; na makusanyo ya kodi na kudhibiti mianya ya rushwa ili mali ya mtanzania afaidi mtanzania sio wachache. Pesa imejaa tele inachezewa tu au CAG report hukuielewa? So tuendelee kuzalisha kunenepesha wezi? no watimuliwe kwanza.Hatuhitaji kitu kingine ni mabadiliko ya mfumo tu mali Mungu katujaria nyingi ikiwemo gesi na makaa ya mawe bado hatuna umeme. M4C inalenga kuelewesha watu haya ili wafanye kitu rahis tu; kuibwaga CCm then usimamizi wa mali za umma then maendeleo. Ukiondoa ukungu wa CCM machoni utaelewa tu.
Sema hivi wewe unataka siyo Watanzania Wanataka! Siyo vizuri kuwasingizia Watanzania!Watanzania wanataka CHADEMA wangekuwa wanawaeleza Watanzania ni kipi watafanya wao ambacho CCM kimeshidwa kuwafanyia.
[TD="width: 2, bgcolor: #fe0000"][/TD]
[TD="width: 578, bgcolor: #b20000, colspan: 3"][/TD]
[TD="width: 2, bgcolor: #fe0000"][/TD]
[TD="colspan: 3"]
[TD="width: 578, bgcolor: #fbfbfd, align: center"]
Mawaziri na Manaibu Mawaziri Vivuli
Waziri Mkuu na TAMISEMI
Freeman Aikaeli Mbowe
Kiongozi wa Upinzani Bungeni
Silinde David Ernest
TAMISEMI
Sera, Uratibu na Bunge
Raya Ibahim Khamis
Vicent Kiboko Nyerere
Elimu
Uwekezaji na Uwezeshaji
Esther N. Matiko
Utawala Bora
Said Amour Arfi
Mahusiano na Uratibu
Rev. Israel Y. Natse
Menejimenti ya Utumishi wa Umma
Suzan A. Lyimo
Muungano
Pauline P. Gekul
Mazingira
Grace S. Kiwelu
Kabwe Zuberi Zitto
Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni
Christina Lissu Mughwai
Godbless Lema
Tundu Lissu
Mnadhimu Mkuu wa Upinzani
Ezekia D. Wenje
Joseph Selasini
Silvester M. Kasulumbayi
Prof. Kulikoyela Kahigi
Halima James Mdee
Rev. Peter Msigwa
John John Mnyika
Eng. Salvatory Machemuli
Mhonga Saidi Ruhwanya
[TD="class: hotuba, bgcolor: #000000"]OFISI/WIZARA[/TD]
[TD="class: hotuba, width: 220, bgcolor: #000000"]WAZIRI KIVULI[/TD]
[TD="class: hotuba, width: 160, bgcolor: #000000"]NAIBU WAZIRI KIVULI[/TD]
[TD="class: linkHead"]Ofisi ya Waziri Mkuu[/TD]
[TD="colspan: 3"][/TD]
[TD="class: linkHead"]Ofisi ya Rais[/TD]
[TD="colspan: 3"][/TD]
[TD="class: linkHead"]Ofisi ya Makamu wa Rais[/TD]
[TD="colspan: 3"][/TD]
[TD="class: linkHead liteblak"]Wizara ya Fedha[/TD]
[TD="colspan: 3"][/TD]
[TD="class: linkHead liteblak"]Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi[/TD]
[TD="colspan: 3"][/TD]
[TD="class: linkHead liteblak"]Wizara ya Katiba na Sheria[/TD]
[TD="colspan: 3"][/TD]
[TD="class: linkHead liteblak"]Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa[/TD]
[TD="colspan: 3"][/TD]
[TD="class: linkHead liteblak"]Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa[/TD]
[TD="colspan: 3"][/TD]
[TD="class: linkHead liteblak"]Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi[/TD]
[TD="colspan: 3"][/TD]
[TD="class: linkHead liteblak"]Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia[/TD]
[TD="colspan: 3"][/TD]
[TD="class: linkHead liteblak"]Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi[/TD]
[TD="colspan: 3"][/TD]
[TD="class: linkHead liteblak"]Wizara ya Maliasili na Utalii[/TD]
[TD="colspan: 3"][/TD]
[TD="class: linkHead liteblak"]Wizara ya Nishati na Madini[/TD]
[TD="colspan: 3"][/TD]
[TD="class: linkHead liteblak"]Wizara ya Ujenzi[/TD]
[TD="colspan: 3"][/TD]
[TD="class: linkHead liteblak"]Wizara ya Uchukuzi[/TD]
[TD="colspan: 3"][/TD]
[TR="bg
maana yake ni kwamba kuna wizara zitachanganywa, mkuu wao wa mipasho yeye anazitenganisha ili ajue atakula rushwa vipi,kila akiteua mawaziri na wizara zinaongezwa, sasa tunataka kuziunganisha tupate wizara chache,
Ikiwa ni mwaka wa pili sasa baada ya Slaa kushindwa kuingia Ikulu katika uchaguzi mkuu uliopita, mbinu mpya aliyokuja nayo ni kutoa matamko yanayowatia hofu wananchi juu ya hali ya usalama wa maisha yao na mali zao...hawezi kutoa tamko kuwambia Watanzania jinsi walivyojipanga kutengeneza ajira kwa vijana na kuonyesha njia jinsi watakavyojenga uchumi bora.
Ritz amewashika pabaya, huu ukweli ulio wazi kabisa na ndio maana mnabaki kurusha matusi. Tanzania sio gari la kufanya test drive. Jamaa wanataka wapewe nchi wakati hata mkoa wameshidwa kuuendesha.
Hii nchi ya CCM na itabaki kuwa ya CCM, nyie mko kuturahisishia kupata hela za wazungu tu.tupewe nchi na nani?
nchi ina wenyewe hii, wenyewe ni sisi watanzania, na ni sisi watanzania ndo tumeamua kufanya mabadiliko. mmetunyonya sana bana. inatosha.