Aaaaa aaaaaah, tueleze kazi za chama cha Upinzani kwanza, kisha tuwapime Chadema. Hayo ya fujo unayasema wewe na tutayapima mbele ya mjadala. Kwanza nambie kazi na majukumu ya chama cha Upinzani halafu tutaendelea.Mkuu kwani kazi ya Chadema ni kufanya vurugu? Mifano mbona mingi zile fujo za Mbeya ndio kazi ya vyama vya siasa labda tuanza na hii