Demokrasia Africa Ya Mashariki Mashakani

Demokrasia Africa Ya Mashariki Mashakani

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
4,373
Reaction score
6,088
Matukio yanayoendelea katika nchi za Africa Mashariki ni dalili tosha miongo miwili ya Demokrasia na mfumo wa vyama vingi vya kisiasa upo hatarini.
Uganda kuna mpango wa kupeleka mswada bungeni kuondoa ukomo wa umri wa mtu kuwa Rais kunauwezekano Rais Museveni akawa Mugabe mwingine.
Kenya pamoja na kuwa na katiba nzuri lakini bado mfumo wa kupiga kura na kupata matokeo ya halali hakuna chama kilichopo madarakani Jubilee bado inaendelea kutumia nguvu katika kutawala nchi hiyo pamoja na mahakama kuu kugundua kulikuwa na mfumo mbovu wakati wa uchaguzi mkuu uliopita na serikali ya Jubilee bado inapinga mapendekezo ya chama cha upinzani NASA kufanyia marekebisho tume ya uchaguzi kabla ya uchaguzi wa 26 October 2017.
Tanzania vyama vya siasa vimepigwa marufuku kufanya mikutano. Tumeona wabunge wa upinzani wanavyokamatwa na kuwekwa ndani sehemu nyingi nchini uhuru wa vyombo vya habari upo mashakani. Kwa hali hii Demokrasia iliyodumu kwa miaka 2 ndio imefika ukingoni Africa Mashariki?
 
Ndio hapo chagadema watakapo jua kwamba chai ya rangi ni dawa ya tumbo, eti chama cha upinzani kinasupport serikali ilioko madarakani hilo uliona wapi.kwa hilo cdm walidandia treni kwa mbele.
 
Na fight na my situation naww fight na yako

Refer: trump speech

Utaelewa why we poorly written by historians
 
Ndio hapo chagadema watakapo jua kwamba chai ya rangi ni dawa ya tumbo, eti chama cha upinzani kinasupport serikali ilioko madarakani hilo uliona wapi.kwa hilo cdm walidandia treni kwa mbele.
Haya si maaba, ulitelekezwa na kada wa chadema nni ???!!
 
Ndio hapo chagadema watakapo jua kwamba chai ya rangi ni dawa ya tumbo, eti chama cha upinzani kinasupport serikali ilioko madarakani hilo uliona wapi.kwa hilo cdm walidandia treni kwa mbele.
Umesoma vzr mada au umekurupuka tu kwa kuwa mada imekugusa mkuu..
Ulichoandika na kilichopo mezani mbona haviendani[emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom