Demiss amepotelea wapi?

Wakuu reymage we ni shost yangu sana ukiwa na Dinazarde kwa I'd yangu flan. Nimefurahi kujua ni wewe asee.
Naomba ni PM namba ya max nina shida nae niliwahi onewa na mod.
Kuhusu mada nimeogopa nilitaka nikamkule mmbulu mmoja ila kwa haya yanayohappen asee sitaki tena. C itabidi nipotee sina kifua cha kubeba aibu ndogondogo ....yani nikutunuku K halafu uje unilete kunianika hapa nitakufa kabla ya siku zangu
Mmkule tu, ukiwahofia walimwengu hutafanya yako.
 
Alijifanya google kila kitu anajua alaf kila nchi anampango wa kwenda mbaya zaid akawa anajiona mpambanaji kuliko wana JF wote sasa kilicho mkuta tulijua hadi lodge aliyoenda kugegedwa mara ya mwisho kumbe anaishi kwa ujuzi wa katikati ya miguu
Duuuh!
 
Precisely, sio tu kuvuana nguo. Mkionana huko nje, yanabaki huko huko. Kama hakuna ulazima, sio sawa kuyaleta hapa.

Watu wakiamua kuanikana hapa itatokea vita kuu ya kwanza ya JF, ni kwa vile tu busara inatawala. Hakuna mtu anapenda kutwezwa utu au kudharauliwa kwa namna yeyote ile.
 
Back
Top Bottom