Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,379
- 88,735
Kujuana sio mbaya. Ila mtakayoendeleza baada ya kujuana ndo ya kuwa makini nayo....Mungu anilinde Mimi mwenzenu kaahh!!yaani nawaza wa kunilipua Mimi kati ya wale ni nani?!!
siongezi watu tena wanaonijua wanatosha naogopa balaa...!!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app





