Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Umeona kamsifia dem wa mchiz wake kwa ni mkali kishenzi, unadhan ni kwa nn?! Hana mzur kama huyo! So hilo unalomshauri liko nje ya uwezo wake!
ila awe makini, mwanamke anaye wachanga marafiki kwenye k moja hafai huyo......!