Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,229
- 44,239
kampuni ya dell si ngeni machoni mwetu wengi tunaijua kua ni kampuni inayotengeneza desktop na laptop zinazotumia windows, lakini dell anatengeneza pia vifaa vya android na windows mobile lakini havijawa tu maarufu.
dell atakumbukwa sana kwa kuanzisha simu leo hii zinazoitwa phablet (simu kubwa) , simu hii si nyengine bali ni dell streak 5. -------
Dell naona sasa anataka kurudisha historia nyuma kwa kutupa tablet 4 ambazo naweza kusema ni perfect kuuzwa nchi yoyote duniani. tablet hizi zipo za android na za windows.
DELL VENUE 7
hii ni tablet ya kwanza ambayo dell ameizindua itakua na kioo cha inch 7 na itarun android 4.2.2 na dell wamepromise kua itapata update zote 2 za android zinazokuja yani android 4.3 na 4.4 au kitkat.
tablet hii itakua inatumia processor ya intel atom yenye speed ya 1.6ghz dualcore na ram ya 2gb internal memory itakua 16gb na inakubali memory card, camera nyuma itakua ni 3.2 mp na ina front camera. resolution ya kioo ni hd ya 1200x800. tablet hii itakua na option ya line ikija na network ya hspa+ hivyo itakubali zote 2g na 3g pamoja na kua na specification kubwa tablet hii itauzwa dola 149 tu za kimarekani ambazo ni kama shilingi za tanzania 240,000
DELL VENUE 8
hii ni kama hio hapo juu hakuna cha kuongezea zaidi ila itakuja na kioo cha inch 8 na same version ya android
kwenye processor dell wame upgrade itakua ni 2ghz dual core na ram ya 2gb camera ya nyuma itakua 5mp na ya mbele pia ipo battery itabaki vile vile na itakua na option ya line ya simu hapa bei imeongezeka kidogo itakua dola 179 ambayo ni around 290,000 za kitanzania.
DELL VENUE 8 PRO
dell hawakuishia kwenye android tu wakaja kwenye windows na venue 8 pro inarun full windows 8.1 kwenye screen ndogo ya inch 8
tablet hii itatumia processor mpya za intel ziitwazo baytraill ambazo zinakaa sana na charge dell wamesema utapata masaa 10 kwenye tablet hii. itakua na ram 2gb na internal ya 32 gb. kwenye appearence inafanana na venue 8 kwa kua na umbo na kioo kinachofanana pamoja na resolution ya 1200x800. tablet hii itasuport kalamu kwa hio wazee wa photoshop hii inawahusu, na bei itakua dola 299 kama 480,000 shilingi za kitanzania
DELL VENUE 11
hii pengine ndio tablet ilioshangaza wote itakuja na kioo cha inch 10.8 (11) na itakua na specification kama za pc kubwa.
tablet hii itakua na kioo cha full hd 1920x1080 na itakua powered na intel hasswel processor i5 pamoja na ram ya 8gb. internal storage itakua gb 256 na ina uwezo wa kutumia memory card. tablet hii pia itakua na kalamu pamoja na nfc, dell pia wamesema itakaa na charge masaa 10 na battery yake itakua inatoka ili ukitaka uwe na battery ya akiba. tablet hii itauzwa dola 499 ambayo ni kama shilingi 800,000 na kuiacha mbali surface pro 2 ya microsoft.
ANGALIZO
hizi bei ni za marekani na zimeekwa kwa specification za hapo juu, mfano kama unataka tablet iongeze internal storage iende labda 64gb itabidi na hela nayo iongezeke