Dell.. Plug in not charging shida ni nini?

nishawahi kuwa na tatizo kam hilo mkuu,kwa pc yang toshiba nilitumia njia zote wameelekeza wakuu hapo juu but ilishindikana.kumbe tatizo lilikuwa ni adapter ndo imezngua yani imekufa haiwezi kufanya tena kazi kam inavotakiwa.
so inatakiwa utafute au jaribu nyinge....thats a solution.
 
Back
Top Bottom