Dell Inspiron 1545 resolution problem | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dell Inspiron 1545 resolution problem

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Manyanza, Jul 29, 2011.

 1. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wanajamii hasa wataalamu wa Computer.
  leo asubuhi nimewasha laptop yangu Dell Inspiron 1545, inawaka vizuri lakini baada ya sekunde kumi resolution inakuwa mbaya sana kiasi kwamba sioni kitu kabisa, na nikiizima inapozima resolution yake inakua nzuri kama kawaida, sijajua tatizo nini lakini 2 weeks ago ilianguka.
  naomba msaada wenu wadau kazi zangu zote zimesimama.
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Nadhani unachangaya mambo mawili resolution inapimwa kwa pixel na screen.

  Unaposema ukiiziama resolution yake inakuwa nzuri sikuelewei. Ukiizima kompyuta yeyote screen resolution inakuwa off. so haiwezi kuwa nzuri .Ukiwasha kama kompyuta ina drivers sahhii screen resolution inaweza kuwa nzuri tu eg 1280 X 800 pixel au zaidi

  Kama ulindondosha basi lazima kuna kitu kinachohuhusiana na monitor kiko Loose.

  So tatizo lako laweza kuwa ni hardware na sio software au drivers. Kulitatua inabidi utafute mtaalam afungune acheki.

  Kwa majaribio kabla ya kutafuta fundi tafuta monitor ya computer au projector. I ugansihe na laptop

  • ikionyesha vizuri basi tatizo litakuwa screen ya laptop tu ndio imekorofissha
  • Isiponyesha hata wenye projector au external monito basi tatizo VGA hardware ya laptop imeroga.
   
 3. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  You are right lakini displays za LCD si rahisi kuharibika kwa impact ndogo hisiyo zidi 2G. Ushauri wangu acheck Graphic adapter connectors au daughter board ya adapter yenyewe inaweza ikawa hiko loose kidogo au ikawa na hair crack ambayo hawezi kuiona with a naked eye bila ya kutumia a magnifying glasr
   
Loading...