Dell gx 270 inaunguruma kama gari...

Baba Matatizo

JF-Expert Member
May 5, 2011
334
64
HAMJBO VIJANA NA WAZEE?NIME FORMAT PC YANGU NA KUWEKA UPYA XP SP3 ILIYOKUWEPO AWALI.TATIZO NI KELELE AMBAZO ZIPO KAMA ZA GARI NDOGO ILIYOPO SILENCER NDO ZINANIKERAAA.MTU WA CHUMBA CHA PILI ANAJUA KAMA NIMEWASHA PC SABABU YA HIZO KELELE HATA KAMA SIJAWEKA MZIKI.MSAADA JAMANI NIMECHEMKA WADAU.HDD NI MPYAAA
msaada jamani.
 

Tumsifu Samwel

JF-Expert Member
Jul 30, 2007
1,406
158
Nadhani fan ndio inayotoa huo mngurumo, niliwai kuwa na pc iliyokuwa na mngurumo kama huo.... Tatizo ili linasababishwa na fan kutozunguka kwenye muhimili wake wa kwaida,hivyo kufanya kutoa mlio unao sababishwa na fan na kufanya motherboard na cover la CPU kutoa mngurumo


Fungua mashine yako na utizame kama kuna uchafu kwenye feni, au tizama kama kuna panga moja la feni limekatika au screw ambazo zina shikilia motherboard ambazo hazijafunga vizuri na uzikaze vizuri....
 

Spear_

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,593
444
Huenda kuna kitu inagusa fan wakati inazunguka ifungue hiyo pc kisha uiwashe....uangalie mlio unatokea wapi!!
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom