by default
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 839
- 216
Habari wakuu wa maujanja ya compyuta naomb msaada jinsi ya kupata drve za network za dell yangu nimetafuta sana bila mafanikio ila nikiweka modem inapga mzigo kama kawa niliweka win7 mpya last week drv za network card ndo zlimiss tu.dell inspiron n5030