kayanda01
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 1,142
- 971
Wakuu heshima kwenu nyote.
Kama title ya uzi huu inavyojieleza... mashine naiweka sokoni. Ni 'DELL INSPIRON N5040', kitu genuine kabisa. Mali yangu halali.
SPECIFICATIONS:
EXTRA SPEC's:
- Hard Disk … 465 GB
- HDMI Port
- USB Ports … 3
- VGA Port
- Ethernet Port
- Card Reader
- DVD/CD Rom…. RW
- Webcam
- Built-in Mic
- Wireless network
- Bluetooth
- Valid licensed Anti-Virus… Bitdefender 2017
- Color …. Black
PICHA halisi...
BEI... Sasa twende kwa style ya mnada. The higher bidder ndiye atachukua mashine. Bidding ianzie Tsh 400,000 kwenda juu. Mnada ufanyike hapa hapa sebuleni.
Ahsanteni wandugu. Serious buyers karibuni sana. Nipo Dar es salaam.
Barikiwa sote.

- Battery power-saving (kwa sasa) .... 1 hour unplugged.
- Power cable… IPO.
- Manual booklet ... IPO.
- Drivers CD …. IPO.
- Receipt… HAIPO. Misplaced. (Tutafanya mauziano rasmi, sio kienyeji)
- Laptop ni genuine kabisa, ilinunuliwa brand New! Imetumika miaka mitatu kwa light works.
- Laptop bado ipo katika hali nzuri sanaaa. Haina tatizo lolote wala mkwaruzo wowote. Ni kuchukua na kuanza kutumia right away.
- Intex Wireless Mouse
- 3G Modem Airtel
- 3G Modem Tigo.