Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,779
- 14,303
- Thread starter
- #141
Ukiona hivyo ujue kwanza ubongo wako una afya nzuri ndio maana unaweza kupata déjà vu kirahisi.exac
exactlly mkuu, huwa inanitokea sana
Wewe huwa unafikiri ni nini? Kwani I unayaona maisha uliyowahi kuyaishi?