Déjà Vu inathibitisha binadamu tulishawahi kuishi maisha tunayoishi leo tangia kale

Huwa inatokea sana hiyo mkuu,but bado sijaweza kufaham nini sababu asiee.

Jaribu kuangalia tv show inaitwa "westworld" .Maybe I think tuko kutokana na hiyo movie
 
Kuna kama ukwel flan hv mkuu kwa uzi uliouleta...bcoz maneno kama haya c mara ya kwanza kuyasikia pia me mwenyew after kupata baadh ya mambo kama haya nilijua panaweza kuwa na kaukwel flan hv..But up to now bdo nataka ni experience kama inaweza kuwa ni reality
 
[ QUOTE="Washawasha, post: 27292771, member: 227"]Binafsi ngoja niendelee kufikiri kuhusu hill
Nalog off[/QUOTE]
heeeeeeeee kumbe wewe mtu bado upo daaaah u remind me of old days wakati jf ikiwa motoo
 
Huu uzi unanithibitishia kuwa kuna wagonjwa wengi humu ndani lakini hawajijui wanaanza kusingizia vitu visivyoeleweka..

Wakuu deja vu ni delusion tu kama delesion nyingine..
Mnaumwa nyie muwahi kwa psychiatrist
 
Binafsi hunitokea hii ila maranyingi katia hisia za harufu. Yani naweza kuijiwa na harufu ya kitu au marashi flani then nkaja kukutana nayo katika mazingira ambayo niliyawaza. Au pengine ni harufu ya kitu kilinitokea miaka hata 10 iliyopita lakini nikikutana nayo tena najikuta nimekumbuka tukio lililohisina na hiyo harufu kipindi kilichopita na inakuwa mi mika sio chini ya 4 or 5

Mkuu, hata mimi aina hii ya deja vu hunitokea sana lakini iki-base zaidi kwenye ndoto. Naweza nikaota niko mahali nafanya jambo fulani lakini asubuhi nikiamka kwa vile mahali nilipoota ndoto yake sipafahamu basi nasahau mara lakini hata miaka miwili ama mitatu baadaye ninakuwa kwenye mazingira ya ile ndoto na kunatokea kitu ama kuangusha kalamu ama kijiko, kuanguka kikombe ama kitu chochote ambacho ghafla hunikumbusha ile ndoto niliyoiota miaka miwili nyuma na kama dakika mbili ama tatu scenario yote pale inakuwa kama vile vile nilivyoiota ile ndoto. Miili yetu ninadhani ni zaidi ya tunavyoijua. Huwa ninakosa amani sana na kujiuliza ilikuwaje Ubongo wangu ukajua kitu kitakachotokea miaka miwili hadi mitatu mbele na kupitia ndoto ukanionyesha itakavokuwa exactly. Mwaka jana nilishituka mno hali hiyo iliponitokea eneo fulani linaitwa Kongowe Kibaha, sehemu ambayo sikuwahi kuwaza hata siku moja kwamba nitakuja kusimama pale na kufanya tendo fulani kama nilivyooteshwa kwenye ndoto MIAKA MITATU NYUMA na Ndoto ile nikaisahau mapema kwa sababu nilikuwa sifahamu nnilipokuwa nimeota ni Wapi?? Nini hii????
 
Aisee tuko wengi ,,Mimi pia naweza kupita mahali naona nimewahi pita,,Wakati nakumbuka nilivoviona kipindi Niko, mfano labda ndege akalia,,inatokea ivoivo,,


Pia kuna maeneo nakumbuka nimewahi end a,,ila sikumbuki ni wapi na lini, mfano nakumbuka Niko form six nishawahi kwenda mahali kufanya mitihani,, nikapoteza na daftari langu huko, ila sikumbuki ni wapi,na nimesoma dar, lakini sikumbuki nakumbuka tu eneo majengo yalivo na mazingira ila sijui ni sina,au wapi, na dar ni mwenyeji
 
There are only two worlds. The world within and the world without.
The world within creates the world without.
The world within is mental/spiritual, the world without is material/physical.
Complete understanding of the two worlds is perfect knowledge.
The key is to understand the world within and use it to rule the world without.
The world within is the cause, the world without is the effect.
The inner governs the outer always. The outer is a reflection of the inner.
The outer conditions mirror the inner consciousness.
The world within and the world without are not two separate worlds. They are two different levels of the
same world.
The world is mental. All is mind, the universe is mental. As above so below, as within so without. This is
secret knowledge
Unamaanisha nini unaposema perfect knowldge
 
Humble african.

Nakubaliana na ulichosema, kuna siku nami hiyo hali ilishahi nitokea kabisa katika kumbukumbu zangu ipo kichwani kwamba naweza predict kwamba nini kita happen sababu imejirudia vile vile. Na siku fulani
 
Good day, good people!

Déjà vu ni neno lenye asili ya kifaransa likimaanisha "already seen, lived" yaani unakutana na situation, event, scenario au hali yeyote ambayo unakuja kugundua ulishawai kuishi hiyo hali au hayo maisha ya muda huo zamani iliyopita. Hiyo ndio inakuwa déjà vu. Yaani akili yako na roho yako inakiri kabisa ulishawai kuona, kukutana au kuhisi kitu flani hapo zamani but umekutana nacho tena ukiwa na umri huo huo na muda huo huo..then akili na nafsi yako zinakiri kabisa Ku experience na kuishi that situation before. Then that's déjà vu.

Kilichonifanya nikaandika haya ni kwamba Leo Niko hapa kigali, Rwanda sehemu moja inaitwa kanombe....nilikuwa nataka kupata lunch hivyo nikajikuta nimeenda straight hadi kwenye restaurant ambayo nikajikuta nahifahamu kwa jina though iko Rwanda na sijawahi kufika before..hii nikaignore but nilipoingia ndani mhudumu aliekuja kunihudumia alikuwa anamuita yule wa kaunta mama na alinisemesha kinyarwanda nikamuelewa vizuri ilhali sijui kinyarwanda kabisa then nikaletewa msosi nilipoanza kula nikajikuta naijua scenario nzima itakayotokea hadi mwisho wake ambapo nilihisi wataniuliza juu ya bei na upatikanaji wa Mchele wa bongo... Na kweli mwishoni kabisa wakaniuliza juu ya Mchele wa bongo. Akili yangu ilikuwa imepigwa butwaa maana yale maisha Ninakumbuka niliwahi kuyaishi mwanzoni..but this time imetokea Rwanda hadi mgahawa naujua tena Kwa jina then hadi vitendo vyote. Wow! What's behind this? Labda kabla ya kuzaliwa niliwahi kuishi Rwanda? Sijui? Sasa nimeyajuaje kuanzia mazingira hadi mgahawa? I'm confused vibaya hapa!

Kimsimgi baada ya kufikiria kwa muda mrefu nimehisi kuna possibility our spirits might be very old...kabla hatujazaliwa kuna uwezekano tulikuwa tunaexist million of years back maana nina uhakika roho zetu zinauwezo wa kutambua hata maeneo, sura, vitu n.k tulivyovipitia miaka ya nyuma sana hivyo zilishawai kuyaishi hayo maisha husika.

Na kwa kupitia déjà vu nimeanza kuamini kwamba binadamu tunaishi kwenye illusion ya space and time and we are immortal and exist forever in the universe of infinity na roho inatuthibitishia kupitia ubongo kwamba haya maisha tulishawai kuyaishi hapo awali tukiwa na umri huu huu na muda ulikuwa huu huu.

Vipi ilishawai kutokea kwako umekutana na scenario ndogo then ubongo na roho yako vikakumbuka kwamba ulishawai kuipitia au kuishi back then? What your experience on this? Ilishatokea kwako?

View attachment 788767View attachment 788770
Walijuaje kama wewe ni mbongo????
 
Life is Full of Mysterious We rare Realize

Btw We were Here, We are here and We will be Here FOREVER

We ar goin to change bodies,sex,color bt wit same Soul
 
Kuna series moja ina itwa lost season 3 episode kama za 2-6 hii deja vu imekuwa ndio scene kuu ...hii ndio kumaanisha haya mambo ni ya kiimbani kama wengine wanavyo amino kwenda peponi na motoni hakuna..lakini pia deja vu ni kipawa sio kila mtu anaweza Ku recognize hyo situation so kama ni mfatiliaji wa mambo lazima utakuwa confused ila ukweli ni kwamba we(bodies) exist on present that is past to our souls,(spirit)
 
Mimi hii hali huwa inanitoke mara kwa mara, tena huwa nashangaa kabisa na kuna wakati namwambia mtu kabisa hichi kitu nilishakiona na kuna wakati huwa naogopa kuwaza hivyo hasa kama kitu ni kibaya maana asilimia kubwa ni Iazima vinatokea.
 
Kuna series moja ina itwa lost season 3 episode kama za 2-6 hii deja vu imekuwa ndio scene kuu ...hii ndio kumaanisha haya mambo ni ya kiimbani kama wengine wanavyo amino kwenda peponi na motoni hakuna..lakini pia deja vu ni kipawa sio kila mtu anaweza Ku recognize hyo situation so kama ni mfatiliaji wa mambo lazima utakuwa confused ila ukweli ni kwamba we(bodies) exist on present that is past to our souls,(spirit)
Daaa!!!! Kama ni hivyo basi kumbukumbu inakuwa ndogo Sana
 
Back
Top Bottom