Degree zinazotolewa na taasisi zinakubalika?

STALLEY

JF-Expert Member
May 5, 2012
619
206
Habari wakuu nimesikia tetesi kuwa degree zinazotolewa na taasisi kama DIT au IFM hazipewi uzito na waajiri kama zinazotolewa na universities pia naskia kwa wale wanao apply vyuo vya nje ya nchi kwa level ya masters wanapata wakati mgumu kupata vyuo huko kama degree zao wanazipata kutoka kwenye taasisi je hii ni kweli?na pia ni sahihi kwa taasisi kutoa elimu mpaka ngazi ya degree?
 
There is a big difference between Institute and University whether we like or not!Kuhusu ajira nchini sina uhakika lakini kuhusu scholarship za nje ya nchi nina ushahidi wa hilo kwa baadhi ya nchi.
 
ajira zipo palepale....institute zime specilize. zaid kwa k2 kimoja e.g ifm tia zimespecilize kwenye account na dit kwnye mambo IT
bat universities zna various choices ....
 
acha pumba wewe mbona ifm kuna mpaka it? Tia kuna mpaka it pia ?
 
Habari wakuu nimesikia tetesi kuwa degree zinazotolewa na taasisi kama DIT au IFM hazipewi uzito na waajiri kama zinazotolewa na universities pia naskia kwa wale wanao apply vyuo vya nje ya nchi kwa level ya masters wanapata wakati mgumu kupata vyuo huko kama degree zao wanazipata kutoka kwenye taasisi je hii ni kweli?na pia ni sahihi kwa taasisi kutoa elimu mpaka ngazi ya degree?

kama chuo hata kama ni taasisi(institute) kimekua Accredited kinaweza toa hadi PhD, kwaiyo inategemeana na chuo husika, sidhani kama ulichosikia ni sahihi
 
da hilo kwel kaka ngoja 2wackilze hawa GT

watu wanachanganya vitu, institute ina-specilalize zaidi kwenye field moja hivyo inakua bora katika hiyo field eg IFM imespecialize zaidi kwenye mambo ya Finance. University inakua na college/school mbalimbali ambazo nazo zina-specilalize kwenye field flani eg. UDBS- business school.. kwaiyo kila kimoja kina ubora wake swala la kusema eti nimesoma IT IFM kwaiyo siwezi kuwa bora kuliko mtu wa IT Tumaini sio sahihi, BTW nilisikia IFM watafuta IT na Computer science.
 
mkuu umesomeka sana
 
kwa kuanzia universities ni pana in terms of fields za kusomea tofauti na Institute. kwa suala la ubora, inategemea university au institute husika imejikita zaidi katika kuelimisha fani zipi. vilevile namna ya ufundishaji katika universities na katika institutes ni tofauti (i.e. curriculum zao ni tofauti) universities zinafanya Knowledge Based Curriculum while kwenye Institutes wanafanya Competence Based Curriculum ndio maana the latter wako under NACTE na wengine wapo under TCU. suala la ruhusa ya kutoa shahada kwa upande wa Institutes linategemea sana mtaala wao kupata ithibati kutoka chombo chao cha usimamizi yaani NACTE. Kwahiyo kama taasisi imepata ithibati kutoka NACTE kuendesha mafunzo, hakuna shida yoyote.
muajiri ambaye anataka wahitimu wa vyuo vikuu pekee na kutoamini wa kutoka kwenye taasisi kwakweli labda niseme anahitaji kuwa updated. if u ask me uwezo wa mtu kudeliver anapokuwa kazini unategemea sana juhudi yake binafsi ya kugrasp na kuelewa yale aliyokuwa akisoma na bidii yake ya kutaka kuendelea kujifunza na nidhamu ya kazi. chuo kikuu au taasisi aliyotokea mtu, huwa na mchango ila ni kwa asilimia ndogo sana.

kwa suala la scholarship, wote wanapata, wawe wanatoka universities au institutes, it depends na GPA aliyonayo muombaji na mara nyingine chuo au taasisi aliyotoka inafahamika vipi na chuo anachoapply mhusika kwenda kwa masomo zaidi.

ni hayo niliyo nayo mimi, perhaps siyo yooote ila yatakuwa yamegusa palipoulizwa.
 
thanks nimekusoma vizuri sana mkuu
 
Back
Top Bottom