Natafuta kazi za utafiti & takwimu

Stati

Member
Jul 6, 2023
7
5
Kama ambavyo yajieleza hapo juu.

Nina taaluma ya degree ya kwanza upande wa Takwimu za Sayansi.

Jinsia yangu ni ME.

Yafuatayo ndiyo naweza fanya
1. Kuandika Research papers kwa watu wanaoeoma Diploma, degree & Masters hata na kwa upande wa Theology.

2. Ninaweza fanya Data collection.

3. Ninaweza Fanya Data Template & Data entry kwa pamoja.

4. Ninaweza fanya Analysis kulingana na Data na maswali yake yanavyohitaji.

5. Kwa mtu ambaye anataka kujifunza SPSS & STATA naweza mfundisha pia.

Kwa kuwa ELIMU haiwezi kumpa mtu Thamani, lakini UJUZI waweza kumpa mtu thamani; kwa maana hiyo naomba kazi yako ndugu kulingana na ujuzi niliyo nao ili niweze endelea kuwa bora zaidi.

Cc. Kwa Taasisi za Serikali (Mashirika) na Taasisi binafsi kama una nafasi ya vitu ambavyo nimevitaja hapo na wanao uhitaji basi usisite kuniunganisha nao.

Natanguliza Shukrani.

Asante sana
 
Back
Top Bottom