Inawezekana upo sahihi kwa fikra zako,lakini acha nikujuze tu, elimu haina mbadala wake!Ni kweli hizi hadithi wanazozileta wanakua wengiwao hawajaweza kupata degree, na wanakua na kiburi kuleta mada kama hizi maana unakuta kiuchumi wako vizuri zaidi ya wenye degree na kuendelea.
Tatizo langu lipo wapi? Umenirudishia tena swali mimiInawezekana upo sahihi kwa fikra zako,lakini acha nikujuze tu, elimu haina mbadala wake!
Baada ya kuona hii mada yako nimejua tatizo lako lipo wapi mkuu!
Mimi huwa napenda kukaa na kijana wangu na kumwambia, ELIMU ni ELIMU na PESA ni PESA!
Je unajua Eric Shigongo pamoja na mafanikio yake amerudi chuoni kuitafuta shahada?
Na baba na mama bado wana m'treat kama mtoto. Ataweza changamoto gani huyu ?Uko sawa kabisa. Mtu anamaliza degree and miaka 19. Yaani mwaka Jana yake ndio alikuwa amebarehe.
Mkuu amerudi shuleni ili imsaidie nini?Inawezekana upo sahihi kwa fikra zako,lakini acha nikujuze tu, elimu haina mbadala wake!
Baada ya kuona hii mada yako nimejua tatizo lako lipo wapi mkuu!
Mimi huwa napenda kukaa na kijana wangu na kumwambia, ELIMU ni ELIMU na PESA ni PESA!
Je unajua Eric Shigongo pamoja na mafanikio yake amerudi chuoni kuitafuta shahada?
Ndio inabidi utafakari sasa ili ujue ELIMU ni ELIMU na PESA ni PESA.Mkuu amerudi shuleni ili imsaidie nini?
Ndio maana serikali imewaterekeza vijana wetu na Ndio yenyewe imeleta utaratibu huo. Makampuni binafsi yanasema uzoefu mpaka miaka 5. Naona tunawawahisha watoto shule bure tu.... maana wakimaliza degree bado wanakuja kulelewa tena home. Bora tuwalee miaka 8 ndio waanze la sabaNa baba na mama bado wana m'treat kama mtoto. Ataweza changamoto gani huyu ?
Hujaielezea maana yako, au wenye degree ndio wanajibu kimafumbo hiviNdio inabidi utafakari sasa ili ujue ELIMU ni ELIMU na PESA ni PESA.
Anataka ubunge na hatimaye uteuziMkuu amerudi shuleni ili imsaidie nini?
Degree ngumu ndio ipi hiyo???Kam unatak degree ngumu nenda mzumbe
Wewe kama ni kiongozi mahali fulani waambie wakupatie demotion ukalime karafuu huko kwenu namtumbo.Maturity is the main problem ! Zamani darasa la kwanza mpaka uwe na miaka 9 au 10. Sasa hivi miaka 5 !
I agree with you.Inawezekana upo sahihi kwa fikra zako,lakini acha nikujuze tu, elimu haina mbadala wake!
Baada ya kuona hii mada yako nimejua tatizo lako lipo wapi mkuu!
Mimi huwa napenda kukaa na kijana wangu na kumwambia, ELIMU ni ELIMU na PESA ni PESA!
Je unajua Eric Shigongo pamoja na mafanikio yake amerudi chuoni kuitafuta shahada?
Miaka ya nyuma vyuo vikuu vilikuwa vichache sana. Hivyo wenye degree walikuwa wachache pia.Jamani hivi mnaionaje degeree ya miaka hii??
Mimi naona kama imechuja sana haina makali kama miaka ya nyuma, uzito wa degree ya sasa inavyochukuliwa mtaani ni sawa na uzito wa anaehitimu form six miaka ya nyuma
Nyie mnaonaje wadau??
uongo, it was just 7Maturity is the main problem ! Zamani darasa la kwanza mpaka uwe na miaka 9 au 10. Sasa hivi miaka 5 !
Mtoto mdogo unajua nini wewe ! Mimi nimesoma na watu wameoa darasa la kwanza. Mtu yuko 25 yrs. Na nimemaliza darasa la saba na watu wapo 30's !uongo, it was just 7
we kama ulichelewa kwenda shule ni shida zako mwenyew ila umri rasmi uliopitishwa tangu kipindi cha azimio la arusha ni miaka 7 mtoto anaanze darasa la kwanza.Mtoto mdogo unajua nini wewe ! Mimi nimesoma na watu wameoa darasa la kwanza. Mtu yuko 25 yrs. Na nimemaliza darasa la saba na watu wapo 30's !
Kam unatak degree ngumu nenda mzumbe
Dogo mie naitafuta 60, na nin 2 degreewe kama ulichelewa kwenda shule ni shida zako mwenyew ila umri rasmi uliopitishwa tangu kipindi cha azimio la arusha ni miaka 7 mtoto anaanze darasa la kwanza.