Degree with Honours

Kwa swali lako naona watu wanatoa details lakini wanalizunguka kikawaida honors hutolewa kwa mtu ambae GPA yake inakuwa ikipanda kuanzia 4.0 bila kushuka isipokuwa wakat mwingine chuo kikipandishwa hadhi wanafunzi wanaograduate katika miaka hiyo wanapewa lkn kuanzia kiwango fulani kwa kesi yako I bet amemalizia UD maana miaka ya karibuni kimepandishwa hadhi
 

asante sana mdau kwa ufafanuz murua,maana hata mimi sikujua why i got this naona tu kwenye cheti
 
SAUT hawanaga honours!

Za Nini Sisi hizo Honours? SAUT Ni Kazi tu na Kupikwa Kwa Kwenda mbele na Kama Hujapitia hapo Iwe ktk Bachelor au Masters au hata PHD Yao Changa Basi Umekosa Mengi na Vingi. SAUT Wanatisha Ndugu Zangu Kwa Taaluma Yao. Nawakubali Sana Japo Na Vyuo Vyenu Navikubali ila Kidooooooooooooooooooooo.....................go Mno!!!!!!!!!!!!!!
 
Mimi nina honor kutoka UDSM
Hii ina maana kila mwaka GPA yake imekuwa ikipanda.
Mimi nilipata sup 2 mwaka wa 1 nilipata sup.1 na mwaka wa 2 nilipata 1
Ila mwisho wa siku nilipata honor ni kutokana na GPA kupanda kila mwaka
Mwaka wa 1, GPA ilikuwa 3.5,
Mwaka wa 2 GPA ilikuwa 3.8
Mwaka wa 3 GPA ilikuwa 4.1
Honor ni kupanda kwa GPA kila mwaka
Nawasilisha
 

Safi sana!!! Kumbe nafasi bado ipo!! Ngoja na mimi nikazane ..
 

Hihihihi,! Asa c useme kama ni chuo gani, kama kweli haujali na GPA ni variation tuuu, na vyuo havijalishi, coz naona kama unaogopa kutaja chuo chako... Just say it buddy
 

Umemaliza kiongozi. Hamna hata cha kuongeza hapo. Umeiweka safi kabisa.
 

Sio kweli, kuna kiongozi hapo juu Kifyatu kaielezea fresh mambo honors kwenye huu uzi. Unataka kuniambia kama ulipata GPA ya 2.5 sem ya kwanza, semister ijayo 2.7, inayofuata 3.0 na semister ya mwisho ukawa na CGPA ya 3.5 utakuwa una degree with honors kisa eti GPA imekuwa ikipanda??SIDHANI. Kama unasema kweli basi kila chuo kina mtazamo wake juu ya hizi honors. Honors yako imekuja sababu CGPA yako ni above 4.0, sio sababu eti ilikuwa ikipanda kila semister. Inaweza ikashuka semister fulani, ukaja ifidia semister nyingine na mwisho wa siku iwe above 4.0
 
Last edited by a moderator:

kua mtu ameuliza swali kuwa alisoma chuo gani hakujibiwa, ninachokifahamu mimi ni kuwa. UDSM ndo wana GPA tight sana First class 4.5 - 5.0
Upper second 3.5 - 4.4
Lower Second 2.7 - 3.4
Pass ni 2.00 - 2.6
lakini pia grading system yao iko tofauti na wengine
 
Nimemaliza udsm BaEd, 1st year 2.9
2nd year 2.9
3rd year 3.7
Overall gpa 3.2, cheti changu kinaniambi lower second with honors .nilishawahi kusup LL 214. Hii imekaaje wakuu
 

mkuu kwa nijuavyo mimi vyuo vya tz ipo hivi
4.4-5.0 first class
3.5-4.3 upper second
2.7-3.4 lower second
2.0-2.6 pass

na katika madaraja ipo hivi
A
B+
B
C
D
E
F
sasa mbona classification yako haiendan na chuo chochote hapa tz? ni system ya nchi gani hiyo
 
Tusimtishe sana jamani atakuja tu kuttutajia chuo cha mdogo wake.
 


Asante kwa swali.

Nilifundisha UDSM kuanzia early 80s hadi 1993. Baada ya hapo nilihamia USA. Viwango nilivyotoa ni vile ninavyotumia sasa.

Kama kuna cha ziada niulize.
 
hivyo vyuo vyenu G.P.A ni za kuchukua na kubandikiwa , chuo nilichosoma honour walichukuwa watu wawili tu... Sasa naona kila mchangiaji hapa anasema alipata honour hadi napata hofu.
 
Asante kwa swali.

Nilifundisha UDSM kuanzia early 80s hadi 1993. Baada ya hapo nilihamia USA. Viwango nilivyotoa ni vile ninavyotumia sasa.

Kama kuna cha ziada niulize.

apo nimekusoma mkuu
 
hata wewe unadanganya jamaa kaeleza vizuri pia amejaribu kuweka approximations nzuri hi yo 4.4 kwa sua ni upper second
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…