Degree with Honours

kwa hapa bongo anayepewa honour ni yule aliyemaintain au gpa ya kupanda bila kudrop.

Hapa mnachanga madesa.nijuavyo ni kwamba.sio kwamba haukuweza kudrop.ni kwamba umeweza kupanda wakati unamalia.mfano.mi first yr.3.3 ,second 3.0 third4.0 lkn nimepewa honour lower sec japokuwa sijapata sup.mpaka namaliza.hili limekaaje?
 
Mzumbe Upper second ranges between 3.5 and 4.3

Kwa hiyo kila chuo kina viwango vyake?
Honour degree hupewa mwanafunzi aliyeonyesha kuimarika kila mwaka wa masono. Hii ina maanisha kwamba, mwanafunzi husika aliyamudu mazingira nje na ndani ya madarasa.
 
Salam wana jamvi! Dogo angu kapata LOWER SECOND WITH HONOURS. Hivi nini maana yake na inafaida gani katika life applications

mkuu, navyo jua mimi ni both matokeo kupandakila mwaka..i.e GPA yake iliongezeka kila mwaka ,,na kutokupata supp ata moja
 
Extract ya UDSM angalia kuna tofauti ya nani anapata honours degrees between thegeneral regulations na zile za College ya Sheria.

"UNDERGRADUATE PROSPECTUS 2013/2014
GENERAL UNIVERSITY UNDERGRADUATE EXAMINATION REGULATIONS pg14
12.6 The Grade Point Average (GPA) for the degree shall be computed by dividing the total score in 12.5 by the total weight obtained under 12.3 and truncating down to one decimal point.

12.7 The final classification shall be as follows:
First Class A (5.0-4.4)
Upper Second Class B+ (4.3-3.5)
Lower Second Class B (3.4-2.7)
Pass C (2.6-2.0)

12.8 Award of Honours Degree:
A degree with honours shall be awarded to a candidate obtaining a First or Second class upper division where the candidate has passed all examinations at first sitting; without supplementary examination or carry over in any particular academic year.

School of Law UDSM pg 209
16.2 The Board of Examiners shall recommend the award of a degree with honours to a candidate obtaining a 1[SUP]st[/SUP] Class, 2nd Class Upper Division or 2nd Class Lower Division where he has passed all his examinations at first sitting, meaning, without supplementary or carry over in any particular academic year."

Law Enforcement programme has an identical regulation 22.2 pg212

Sitashangaa kama kuna variation between chuo na chuo.
 
kwani ukijua chuo kitakusaidia nini, hizi grade si ni standard Au GPA ya chuo chako ulicho soma ndo ya maana sana. ucha ulimbukeni kijana.

Wa bogo bwana mnashabikia vitu ambavyo sio vya msingi kabisa. halafu weweunae uliza chuo gani unaonyesha jinsi gani usivyo jua mambo, umeulizwa swali kama unajua jibu hujui acha watu wengine wajibu au unataka tukuone upo japo kuwa huna mchango wala msaada.
 

kwani ukijua chuo kitakusaidia nini, hizi grade si ni standard Au GPA ya chuo chako ulicho soma ndo ya maana sana. ucha ulimbukeni kijana.

Wa bogo bwana mnashabikia vitu ambavyo sio vya msingi kabisa. halafu weweunae uliza chuo gani unaonyesha jinsi gani usivyo jua mambo, umeulizwa swali kama unajua jibu hujui acha watu wengine wajibu au unataka tukuone upo japo kuwa huna mchango wala msaada
 
Percentage
range
70%
–
100%
60%
-
69.9%
50%
–
59.9%
40%
-
49.9%
35%
–
39.9%
0-
34.9%
Letter
grade
A B+ B C D E
Points 5 4 3 2 1 0
PASS FAIL
Degree 58. The degree classification
Classification
GPA Range Degree Classification
4.4 – 5.0 First class
3.5 - 4.3 Second Class- Upper Division
2.7 - 3.4 Second Class – Lower Division
2.0 -2.6 Pass

hapa chuoni ninaposoma first class inaanzia 4.4
na ukikamatwa masomo zaidi ya matatu kwa tunaosoma ma 5 una disco. inamaana GPA zinatofautiana kila chuo
 
ukikua utaacha kjana wewe wa kizazi cha mulugo,unaparamia paramia tu comments za watu,kaa pembeni dogo
 
hizi ndio nazifahamu mimi hata mzumbe wanatumia hizo,na witj honours kutokana na condition za haoopo juu
 
first year nina 3.8 na second year 3,8 and third year 4,0 lakini sijapata hons panakuaje hapo au siqualify
 


Nakubaliana na wewe. Hii ndio criteria tuliokuwa tunaitumia nilipokuwa UDSM, i.e., 100-70 = A, and so on... ambayo kwa maoni yangu naiona ni subjective.

Nilipo sasa tunautaratibu mwengine ambao ninadhani ni more objective.

Tuna-grade along the course curve (not class curve).
Rationale: Tunaamini kwamba over the years wanafunzi wanaopitia hilo darasa wana-represent the population, na an average grade ni B. Kwa mfano kwenye somo langu course average kwa sasa ni 79%. Kwa hiyo wanafunzi wakifanya mtihani wa somo hili atakaepata 79% ni B. Grade za juu au chini zinarekebishwa kwa kutumia multiples of standard deviation. Nasisitiza kuwa tunatumia COURSE AVERAGE na sio CLASS AVERAGE. Hii course average is a moving average ambayo inarekebishwa kadiri miaka inavyoendelea.

Objectivity: Hii ina maana kama mwalimu ana tabia ya "kuwakamata" wanafunzi kwa mitihani ya kuviziana halafu course average ya darasa lake ikashuka hadi 45%, basi B-grade itakuwa 45%. Hii itakuwa ni njia mojawapo ya huyo mwalimu kujiuliza kuwa kulikoni. Kama katika kipindi cha miaka kadhaa (say 10) wanafunzi wanapata alama za chini kiasi hicho tatizo liko wapi. Pia kama hii class average itakuwa juu sana (85-90%) basi mwalimu anapaswa kujiuliza kama mitihani yake ni kigezo kizuri cha kutofautisha kati ya vilaza na vichwa.

GPA na Degree Classification
Utaona hapa kuwa itakuwa vigumu kulinganisha kiwango cha shahada (kwa mfano second-class, upper division) kati ya vyuo viwili vinavyotumia taratibu tofauti katika utoaji wao wa grades.
 
Hata mimi ninajua hivyo Honourable degree inatolewa kwa mtu ambae GPA yake imekuwa ikipanda kila mwaka, hata kama aliwahi kusup anapewa. Sasa sijui kwa vyuo vingine wanafanyaje.

wewe unajua kwa chuo gani?
 
tuwe tunajitahidi kucomment atleast kama mkuu alivo comment bila kuleta matatizo.nimekupata mkuiuu
 

Afadhali umemwambia ukweli maana wengine sielewi kama wana matumizi sahihi ya akili zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…