Degree programs zinazoongoza kwa kula vichwa pale UDSM

Degree programs zinazoongoza kwa kula vichwa pale UDSM

+ cost accounting
+ VAT na INCOME tax
sasa cost a/c..nyie mnaona jiwe...muendelezo wake ndio management ac...income tax na vat hizo ni laini...ielewe act tu...unateleza..issue ifm inachkua hadi watu wa arts kuja kusoma tax.. small numbers zinawatesa!
 
  • Thanks
Reactions: NHS
'Ninawalilia' waliochaguliwa Bcom na Economics.. Kuna Ec216 na Ec 226. Hizo kozi sio za mchezo mchezo.
 
'Ninawalilia' waliochaguliwa Bcom na Economics.. Kuna Ec216 na Ec 226. Hizo kozi sio za mchezo mchezo.
ha ha ha.salimia sana Dr karamagi na nyoni.hapo pia kuna ile kitu inaitwa ec219 na ec229,weka na ile kitu ya ec218 na ec217.ase mwaka wa pili ilibidi niopt udbs maana huko department ilikua balaa.
 
Mliochaguliwa hizi degree programs pale udsm,mkawe makini,vingnevyo mtaisoma number
1.civil engineering
2.electrical engineering
3.mechanical eng
4.mining eng
5.physics
6.economics
7.statistics
Kwenye civil naona too much..they have to be very careful and a hale body..
 
Mliochaguliwa hizi degree programs pale udsm,mkawe makini,vingnevyo mtaisoma number
1.civil engineering
2.electrical engineering
3.mechanical eng
4.mining eng
5.physics
6.economics
7.statistics

Kaka umesahau:

UDBS

----Pale unakutana na ACCOUNTING
----Pale unakutana na BANKING AND FINANCE (Huku kuna madr. wanakusomesha shule mpaka unajisikia raha) nisingependa kuwataja hapa, ila kwa waliomaliza 2012, wanajua nawasema madr. gani?

Kama umechaguliwa UDBS, BIG UP SANA KWAKO..........NA KILA LA KHERI!
 
ha ha ha.salimia sana Dr karamagi na nyoni.hapo pia kuna ile kitu inaitwa ec219 na ec229,weka na ile kitu ya ec218 na ec217.ase mwaka wa pili ilibidi niopt udbs maana huko department ilikua balaa.
Hatari sana ila karamagi mtu poa sana na hakika anaijua vizuri sana micro.
 
Back
Top Bottom