24hrs
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,632
- 5,968
udsm semista moja ukiwa na sapu 4 beba beg lud nyumbani halaka ukaanze kilimo cha bustanmkuu naanza kuisoma namba vilivyo saivii
udsm semista moja ukiwa na sapu 4 beba beg lud nyumbani halaka ukaanze kilimo cha bustanmkuu naanza kuisoma namba vilivyo saivii
UDSM hawana Baba yao Electronic Engineering ?Mliochaguliwa hizi degree programs pale UDSM, mkawe makini, vingnevyo mtaisoma number
1.civil engineering
2.electrical engineering
3.mechanical eng
4.mining eng
5.physics
6.economics
7.statistics
kweli kabisa...8. Botany
izoo sapuu naanzaa kuzionaa hahaaaudsm semista moja ukiwa na sapu 4 beba beg lud nyumbani halaka ukaanze kilimo cha bustan
wasubili TCU mwez wa saba chukua chako mapema.....izoo sapuu naanzaa kuzionaa hahaaa